Tuliomfitinisha Zitto na tuteme mate Chini: Tukumbuke mwisho wa Ubaya aibu!

Status
Not open for further replies.
Kinachomponza zitto ni uwezo wake wa uongozi
======
Wivu?
======
Roho mbaya?
=========
Kikicho?
=======
Ntimanyongo?
=======
Aghhhh! mimi sijui bwana.nadhani wapo wanaojua vizuri mambo haya. Ninachojua mimi ni kwamba vitabu vya dini vimeaandika kuwa "Mfitini ni mtu mbaya kuliko muuaji" hii ni kwa sababu mtu anaweza akawafitinisha watu wakaingia kwenye mgogoro usiokuwa na maana na baadae wakapata maafa yasiyomithilika na kumbe wala hata hapakuwa na tatizo la msingi bali fitna tu.

Ushawahi kuishi na watu wanakuja wanakuambia "fulani anakufanya hivi na hivi, anasema atakufanya hivi au vile, anania mbaya na wewe "n.k halafu ukifatilia unagundua kuwa yule yule anaenda kule upande wa pili anasema na wewe jinsi ambavyo una nia mbaya na upande wa pili. Basi utakuta watu ambao walikuwa marafiki wakikutana wamenuniana kila mtu anadhani mwenzake ni adui mkubwa, kubwe wala hata hakuna mwenye nia mbaya na mwenzake tatizo ni fitna tu.Fitna mbaya sana ndugu zanguni.
 
Huwa napata shida kuelewa wahusika huko kweye ofisi za Jf (jamii forum) hivi huwa mnazingatia habali zipi ziwekwe hewani na zipi zisiwekwe ili neno The home of gerat thinkers liwe na mantiki maana nashangaa habali zingine zilipaswa kuwa kwenye magazeti kama Sani,uwazi,Risasi,Amani Visa ndo tunaletewa magreat thinkers sasa usemi wa Great thinkers hauwezi kusimamiwa na watu ambao sio magreat thinkers.
 
unaonaje hili la mkakati wa kujenga ofisi ya chama ya kisasa sana! wapenzi wote wa chadema wakiamua kuonesha uzalendo wao na kila mmoja akatoa tofali moja tu na sh 1000, kwa wale walioko dar es salaam tu huku chama kikitafuta kiwanja safi; si tunajenga ofisi kali ya ghorofa tatu? unasema je kwa wazo hili mkuu?

Bethlehem wazo lako zuri sana! Yaani mawazo yaliyo katika wakati husika, Ukizingatia Chama hakina Ofisi kuu.
 
======
Wivu?
======
Roho mbaya?
=========
Kikicho?
=======
Ntimanyongo?
=======
Aghhhh! mimi sijui bwana.nadhani wapo wanaojua vizuri mambo haya. Ninachojua mimi ni kwamba vitabu vya dini vimeaandika kuwa "Mfitini ni mtu mbaya kuliko muuaji" hii ni kwa sababu mtu anaweza akawafitinisha watu wakaingia kwenye mgogoro usiokuwa na maana na baadae wakapata maafa yasiyomithilika na kumbe wala hata hapakuwa na tatizo la msingi bali fitna tu.

Ushawahi kuishi na watu wanakuja wanakuambia "fulani anakufanya hivi na hivi, anasema atakufanya hivi au vile, anania mbaya na wewe "n.k halafu ukifatilia unagundua kuwa yule yule anaenda kule upande wa pili anasema na wewe jinsi ambavyo una nia mbaya na upande wa pili. Basi utakuta watu ambao walikuwa marafiki wakikutana wamenuniana kila mtu anadhani mwenzake ni adui mkubwa, kubwe wala hata hakuna mwenye nia mbaya na mwenzake tatizo ni fitna tu.Fitna mbaya sana ndugu zanguni.

Atangaze leo kuwa hagombei uenyekiti kama kuna mtu atamfatafata au kumwita msaliti
 
Hapa panahitaji ufafanuzi. jamaa (nadhani ulimaaninisha Zitto) amechafuliwa vipi, na nani amemchafua, tukio la kuchafua lilitokea lini na wapi...!?
Ukinijibu haya, nitakuwa kwenye nafasi nzuri kutoa mchango wangu murua kwenye uzi huu. Lakini kama kusudio lako ni sichangie waweza kususia kujibu maswali yangu.
Mkuu tunaomfitinisha miongoni mwetu tunajijua.Ni jiwe gizani. Kama huna idea basi wewe utakuwa huhusiki pengine hivyo unaweza kutulia na ukaendelea na mambo yako ya msingi na kistaarabu kama kawaida yako.wahusikawanajijua na ujumbe umewafikia.
 
Namshangaa zitto na ujanja wake wote kuendelea kung'ang'ania chadema

"Nitakuwa wa Mwisho kutoka CHADEMA kwa hiari yangu Mwenyewe" by Zitto Kabwe, Maana yake Sitatoka Chadema mpaka nifukuzwe, na nikifukuzwa nitahakikisha nimetumia option zote za kudai haki ya uanachama wangu kushindikana ndipo nitaweza kuaga CHADEMA

David Kafulila leo alikuwa awe Mbunge wa CHADEMA lakini mahesabu tuliyokuwa tumefanya yalitufanya tumpoteza. 2015 tunaweza kumpoteza sio tu Mh. Zitto Kabwe kama Mbunge lakini na segment Kubwa ya supporters wa CHAMA wanaokubaliana na Itikadi na mikakati yake. Hii itatupunguzia sio tu Jimbo lakini pia Kura zetu za Urais 2015
 
Huwa napata shida kuelewa wahusika huko kweye ofisi za Jf (jamii forum) hivi huwa mnazingatia habali zipi ziwekwe hewani na zipi zisiwekwe ili neno The home of gerat thinkers liwe na mantiki maana nashangaa habali zingine zilipaswa kuwa kwenye magazeti kama Sani,uwazi,Risasi,Amani Visa ndo tunaletewa magreat thinkers sasa usemi wa Great thinkers hauwezi kusimamiwa na watu ambao sio magreat thinkers.

Ukishaona uzi unaompetipeti Zitto elewa ndio uzi pendwa wa Mods,
 
"You may take all the fools on your side, them you will be elected and appreciated for anything you do"

Zitto alifanikiwa sana katika hili.
 
Last edited by a moderator:
Huwa napata shida kuelewa wahusika huko kweye ofisi za Jf (jamii forum) hivi huwa mnazingatia habali zipi ziwekwe hewani na zipi zisiwekwe ili neno The home of gerat thinkers liwe na mantiki maana nashangaa habali zingine zilipaswa kuwa kwenye magazeti kama Sani,uwazi,Risasi,Amani Visa ndo tunaletewa magreat thinkers sasa usemi wa Great thinkers hauwezi kusimamiwa na watu ambao sio magreat thinkers.
Samahani sana great thinker kwa kuleta uzi wenye kiwango cha chini kuliko ambavyo ulitegemea.Kumradhi! hata hivyo si kila mtu ambaye ni great thinker wa level iliyokomaa kama yako.Wengine sisi bado ni wachanga na ndio tuna kuwa.Huenda siku moja tukafikia ukomavu wa leevel yenu. Naomba univumilie na kunisamehe kwa leo na nitajitahidi kuboresha hadi kufikia katika level zako.
 
Mpaka leo mnabwabwaja tu hapa jf mnashindwa kumshauri Zitto aanzishe chama chake au aje huko ccm?

Mtahangaika sana lakini habari ya Zitto kwa chadema tushaifunga,
umeifunga nanan ,bn mm cjaifunga acha kuwasemea chadema wote hatuna msimamo kama wako sema nimefunga sio tumefunga we mburula umeelewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom