Tulioko kwenye ndoa kukaribisha mashosti nyumbani wamzoee Mr ni kutengeneza bomu

AHAHAHHAHHA umeona enh!
rafiki wa kumhisi anaweza fikia hiyo level ya usaliti siwezi fika naye miaka mingi kwanza hata miezi!
and I don't make friends over a month!
NINA PEOPLE IM COOL WITH, NOT ALL OF THEM ARE MY FRIENDS!
kuna boonge la tofauti hapo, those you are cool with , hata hawawezi jua nikiwa niko broke!
A FRIEND, akisoma tu text nikiandika Habari za asbh , mmeamkaje hapo nyumbani?, jibu lake anajibu we fala leo huna hela au nani kakuboa we kima?
SASA JAMANI HUYU NI KUMZUIA ASIJE NYUMBANI!?
 
Baadhi ya wanawake wa pwani hawataki marafiki kwao
Ila wanawake wa bara wanaona hakuna tabu kuwa na marafiki
Nilicho gundua kwenye michango ya wadau hapa
 
Unajua kuna wakati mwingine unaamini mtu kupita maelezo.
Halafu ukiangalia ni kuwa hana historia ya kufanya jambo lolote baya
 


Kazi aseh, umenifanya nikumbuke yale magazeti yako ya nondo..

Kwa hiyo, kuna kuolewa na ku lose mashost. Ama kuolewa na ku keep mashost lakini uishi nao roho mkononi mbele ya mume.
Wanawake tuna kazi.
 
Ahsante kwa ushauri mzuri dada Sky Eclat

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…