snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,708
- 23,636
AHAHAHHAHHA umeona enh!Mimi naona vile mtu anavyojuana na marafiki zake. Kama ndio tabia zao za kuchukuliana mabwana amani haiwez kuwepo akifika kwake. Kama una rafik macho juu juu na wewe uko hivyo.
Yani mtu una rafiki kabla hata hujakutana na huyo mwanaume umkimbie kisa umeolewa. Yan vitu vingine vinachekesha kwakweli
rafiki wa kumhisi anaweza fikia hiyo level ya usaliti siwezi fika naye miaka mingi kwanza hata miezi!
and I don't make friends over a month!
NINA PEOPLE IM COOL WITH, NOT ALL OF THEM ARE MY FRIENDS!
kuna boonge la tofauti hapo, those you are cool with , hata hawawezi jua nikiwa niko broke!
A FRIEND, akisoma tu text nikiandika Habari za asbh , mmeamkaje hapo nyumbani?, jibu lake anajibu we fala leo huna hela au nani kakuboa we kima?
SASA JAMANI HUYU NI KUMZUIA ASIJE NYUMBANI!?