Tulioko kwenye ndoa kukaribisha mashosti nyumbani wamzoee Mr ni kutengeneza bomu

Mimi naona vile mtu anavyojuana na marafiki zake. Kama ndio tabia zao za kuchukuliana mabwana amani haiwez kuwepo akifika kwake. Kama una rafik macho juu juu na wewe uko hivyo.

Yani mtu una rafiki kabla hata hujakutana na huyo mwanaume umkimbie kisa umeolewa. Yan vitu vingine vinachekesha kwakweli
AHAHAHHAHHA umeona enh!
rafiki wa kumhisi anaweza fikia hiyo level ya usaliti siwezi fika naye miaka mingi kwanza hata miezi!
and I don't make friends over a month!
NINA PEOPLE IM COOL WITH, NOT ALL OF THEM ARE MY FRIENDS!
kuna boonge la tofauti hapo, those you are cool with , hata hawawezi jua nikiwa niko broke!
A FRIEND, akisoma tu text nikiandika Habari za asbh , mmeamkaje hapo nyumbani?, jibu lake anajibu we fala leo huna hela au nani kakuboa we kima?
SASA JAMANI HUYU NI KUMZUIA ASIJE NYUMBANI!?
 
Baadhi ya wanawake wa pwani hawataki marafiki kwao
Ila wanawake wa bara wanaona hakuna tabu kuwa na marafiki
Nilicho gundua kwenye michango ya wadau hapa
 
Pole sana halafu wewe unakuwa unamwadithia mambo yako anakuchora tu halafu huwezi mgundua mapema, kuna mama 1 alisema nilipo ambiwa sikuamini kabisa kwa ule urafiki wetu, mpaka alipojifungua kaenda kuangalia mtoto yaani copyright na mmewe ninavyokwambia nibimdogo tena anayetambulika kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuna wakati mwingine unaamini mtu kupita maelezo.
Halafu ukiangalia ni kuwa hana historia ya kufanya jambo lolote baya
 
Kwa hiyo mashosti ni wazuri na wanafaa kabla hujaolewa, ukishaolewa tu wanakuwa maadui?

Hivi kila rafiki akuonee wivu wewe, kisa umeolewa au kwa kipi haswa? Afu inanichekeshaga sana, mwanamke atakwambia sitaki mashosti wanafiki, sasa sijui nani sio mnafiki kama kila mtu anamuona mwenzie mnafiki. Kila mtu mwema ila wenzie wote ndo wabaya. Dunia hii teh


Kazi aseh, umenifanya nikumbuke yale magazeti yako ya nondo..

Kwa hiyo, kuna kuolewa na ku lose mashost. Ama kuolewa na ku keep mashost lakini uishi nao roho mkononi mbele ya mume.
Wanawake tuna kazi.
 
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Ahsante kwa ushauri mzuri dada Sky Eclat

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom