Tulioko kwenye ndoa kukaribisha mashosti nyumbani wamzoee Mr ni kutengeneza bomu

Mbona nimejikuta tu mgazeti umeshuka hahaha
Kazi aseh, umenifanya nikumbuke yale magazeti yako ya nondo..

Kwa hiyo, kuna kuolewa na ku lose mashost. Ama kuolewa na ku keep mashost lakini uishi nao roho mkononi mbele ya mume.
Wanawake tuna kazi.
The way we keeping it real with my girls aaaah bana
 
Kuna kitu nimejifunza;ndio maana nikifika nyumbani kama kuna rafiki wa bi mkubwa huwa wanaaga na kuondoka
 
Mmmh jamani
Kualika shosti nyumbani? Au chumbani?!

Sioni tatizo mtu uliyezoeana nae kuja kwangu, nitaona tatizo akiingia chumbani

Mwanaume anayejielewa atasalimia za saa hizi ataondoka zake!

Ila kama ni macho juu juu basi tena.

Kwa maana hiyo utakuwa unafanya jambo kumchunga mume ambaye anaweza kumfata mwingine hata kwa kuchukua namba kwenye simu yako mwenyewe!
In short angalia na aina ya rafiki yako, sio kisa mume ni mstaarabu basi unamletea marafiki ambao wanaweza kuleta ushawishi hata kwa malaika.

Mke wangu ana marafiki zake ambao huwa wanakuja kumtembelea na sioni kama nitatizo hata kama wataongea nikiwepo au nisipokuwepo ila kuna siku alikuja rafiki yake mmoja hivi ni nesi katika Hospital fulani Dar es Salaam.

Japo ni mtulivu na anaonekana ni mtu wa dini sana lakini Shape yake na aina ya muonekano wake hakuna mwanaume ambaye anaweza kumuona asimtamani.

Alivaa kiheshima sana lakini alivyoumbika sina namna ya kuelezea nikaeleweka vizuri. Nilisalimiana naye kwa kupeana mikono kisha wife akanitambulisha, tukaongea kidogo then nikawaacha nikaondoka zangu.

Niliporudi nilimkuta na alilala nyumbani, siku ya pili aliondoka kurudi na tukawa tunasalimiana bila shida lakini wife hakusita kunitahadharisha kwa kuniambia "Yule ni rafiki yangu" Amejaaliwa shape na kila kitu naomba usije ukamtongoza, akaendelea kuniambia....... Nilisoma naye na tulikua kama ndugu. Tangu shuleni alikua na maumbile hayo hayo na siku zote alikua anataka kuja kunitembelea nikawa nashindwa kumleta kwakua najua anaweza kuja kunitaifisha mume kama mume atakosa moyo wa utulivu.

Wiki yote amekua akiomba aje kunitembelea jana ndio akaja hivyo nikawa sina jinsi. Japo nilikosa kujiamini kabisa kutokana na alivyo japo hana tabia za kihuni.

Hayo ndio yalikua maelezo ya wife, sasa wewe unasema rafiki yako kuja sebuleni sio shida ila kumbuka na muonekano wake unachangia. Akiwa mzuri sana unajihatarishia ndoa yako mwenyewe, wanaume hatujaumbwa na mioyo kama malaika na vichwa vyetu vinaendeshwa na hisia kama kitaonekana kitu cha kusisimua hisia. Tamaa humpata kila mtu kwa mazingira tofauti, tuleteeni marafiki lakini kabla ya kumleta rafiki hakikisha mwanaume wako asije akapata tabu ya kumfikiria rafiki yako kwa muonekano wake tena ukigundua hata wewe unahisi rafiki yako ni mzuri kupita kiasi usimlete nyumbani.

Tunavumilia lakini kuna muda tunashindwa. Kuweni makini mapenzi hayana komandoo

Mkorintho wa 6
 
👍
 
Ushosti/urafiki/mazoea ya kijinga na familia yangu hasa mume staki aisee,.lazima tujue kutofautisha familia na urafiki,.urafiki una sehemu yake na muda wake,.mazoea ya kupelekana mpaka vyumbani hapana kwa kweli,.kuna watu hawana staha na "vyumba" vyao atii,.mgeni akija akaribishwa hadi chumbani unako lala na mumeo,inahuuu?!!!
Akiingia chumbani kwangu labda nisijue sababu atakua alishaona siri za ndani maana huko tumeweka nguo zetu hadi za ndani kwenye enga, sasa kama ameingia huko basi atakua amebeba sifa zote za kumsaidia mke naye huenda akawa mke

Mkorintho wa 6
 
In short angalia na aina ya rafiki yako, sio kisa mume ni mstaarabu basi unamletea marafiki ambao wanaweza kuleta ushawishi hata kwa malaika.

Mke wangu ana marafiki zake ambao huwa wanakuja kumtembelea na sioni kama nitatizo hata kama wataongea nikiwepo au nisipokuwepo ila kuna siku alikuja rafiki yake mmoja hivi ni nesi katika Hospital fulani Dar es Salaam.

Japo ni mtulivu na anaonekana ni mtu wa dini sana lakini Shape yake na aina ya muonekano wake hakuna mwanaume ambaye anaweza kumuona asimtamani.

Alivaa kiheshima sana lakini alivyoumbika sina namna ya kuelezea nikaeleweka vizuri. Nilisalimiana naye kwa kupeana mikono kisha wife akanitambulisha, tukaongea kidogo then nikawaacha nikaondoka zangu.

Niliporudi nilimkuta na alilala nyumbani, siku ya pili aliondoka kurudi na tukawa tunasalimiana bila shida lakini wife hakusita kunitahadharisha kwa kuniambia "Yule ni rafiki yangu" Amejaaliwa shape na kila kitu naomba usije ukamtongoza, akaendelea kuniambia....... Nilisoma naye na tulikua kama ndugu. Tangu shuleni alikua na maumbile hayo hayo na siku zote alikua anataka kuja kunitembelea nikawa nashindwa kumleta kwakua najua anaweza kuja kunitaifisha mume kama mume atakosa moyo wa utulivu.

Wiki yote amekua akiomba aje kunitembelea jana ndio akaja hivyo nikawa sina jinsi. Japo nilikosa kujiamini kabisa kutokana na alivyo japo hana tabia za kihuni.

Hayo ndio yalikua maelezo ya wife, sasa wewe unasema rafiki yako kuja sebuleni sio shida ila kumbuka na muonekano wake unachangia. Akiwa mzuri sana unajihatarishia ndoa yako mwenyewe, wanaume hatujaumbwa na mioyo kama malaika na vichwa vyetu vinaendeshwa na hisia kama kitaonekana kitu cha kusisimua hisia. Tamaa humpata kila mtu kwa mazingira tofauti, tuleteeni marafiki lakini kabla ya kumleta rafiki hakikisha mwanaume wako asije akapata tabu ya kumfikiria rafiki yako kwa muonekano wake tena ukigundua hata wewe unahisi rafiki yako ni mzuri kupita kiasi usimlete nyumbani.

Tunavumilia lakini kuna muda tunashindwa. Kuweni makini mapenzi hayana komandoo

Mkorintho wa 6

Kwa mfano asingekuja nyumbani mkakutana kwenye event au hotel?
 
Nini huwa ana maanisha mwanamke ambaye ni rafiki wa mkeo, huna mazoea nae hata kidogo halafu anamwambia mkeo kuwa una date na binti fulani mtaani though hujawahi hata kuwaza kumtongoza huyo binti wala yeye mwenyewe ?.
 
Mbona nimejikuta tu mgazeti umeshuka hahahaThe way we keeping it real with my girls aaaah bana

Hahah!, kwa kweli..

Weee uje umkonyeze mume wangu

Halafu siku hiyo I'll opt my glasses for contact Ls. Ili nikonyeze vizuri..:D

Lakini haya mambo bwana. Kwa kweli inategemea na mume na aina ya marafiki mtu alie nao. Kama wote ama mmoja wa hawa macho juu, basi someone should hope for the Best. Cos utamchunga na wangapi?!

But all in all dear..
We better stick with our "Unwritten-Rule"
Don't date with your shosti's Ex/current squeeze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom