Tulioko kwenye ndoa kukaribisha mashosti nyumbani wamzoee Mr ni kutengeneza bomu

Majority sio kwamba hawana imani na marafiki zao; wengi hawana imani na waume zao. Unatujua tunavyohalalisha ukicheche wa wanaume na kuwafanya wao kama victims, watu wasio na utashi wa kukataa; wanalazimishwaga tu papuchi. Sijui utawachunga wangapi
Utamchunga kazini, njiani na popote atapokua?

Anyway mwisho wa siku kila mtu na mahusiano / ndoa yake ila hayo maisha ya mateso aisee!

Humuamin kwa mashoga itakuja kwa ndugu mwisho popote ukimuona na mwanamke huna imani.
 
Utamchunga kazini, njiani na popote atapokua?

Anyway mwisho wa siku kila mtu na mahusiano / ndoa yake ila hayo maisha ya mateso aisee!

Humuamin kwa mashoga itakuja kwa ndugu mwisho popote ukimuona na mwanamke huna imani.
Aisee labda nipoteze purpose ya maisha; ndo ntadevote energy yangu kuishi kwa wasiwasi kisa mume
 
Umeona eee halafu huyo ndiye rafiki wa kufa na kuzikana daa, hapo alipohamishiwa huko itakuwa alifurahi kweli, omba mkeo asije gundua maana utampa maumivu makali sana mpaka familia zitahadhirika, halafu kumla ni kuondoa hasira au kujiondoa utu wako yaani akiwa na mkeo atakuwa anamzarau basi tu halafu nyie wanaume nikama wote baba na mama mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiolewa koma kuwa na mashosti kama unataka kuwa na amani ndani ya ndoa ila kama unataka mashosti zaidi achana na ndoa ili uwe na mashosti.
Mashosti ni watu wanafiki wachawi hawakutakii wala hawakupendi wanakuonea wivu kwa kila kitu.
Halafu watoa nasaha husema kabisa umekuwa mashost wasio eleweka punguza muda wakumpikia mme wewe apiga story na mashost, ndiyo watakwambia nawewe unamwendekeza mmeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana halafu wewe unakuwa unamwadithia mambo yako anakuchora tu halafu huwezi mgundua mapema, kuna mama 1 alisema nilipo ambiwa sikuamini kabisa kwa ule urafiki wetu, mpaka alipojifungua kaenda kuangalia mtoto yaani copyright na mmewe ninavyokwambia nibimdogo tena anayetambulika kabisa
Asante.
Huyo alikuwa shosti wangu miaka nenda rudi
Ila alichokuja kunifanyia...ni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona kama unalazimisha experiences! Mtu anakwambia hoja zake wewe unang'ang'ana wanaume wote vitombi! Wewe ndio kitombi, sio kwamba waume zetu hawa cheat ila hawa cheat kijinga jinga. Na hata kama akicheat sio lazima atoke na mashosti zetu au wafanyakazi wa ndani au ndugu zetu. Live your own experience
 

Ni mumeo ndio na "unamjua" kwa perspective ya nyumbani na husbandhood!

Akija mtaani huku tunakua masela wote...

As a man I can safely say I know my fellow men!

Na pia elewa sijasema ni wote 100%.Ni baadhi ila ni majority!

Nimesoma college na zaidi ya watoto 300 madarasani huko karibia wavulana wote ni wajanja wajanja waliotulia ni kama 10% tu.

Nasema hivi kwasababu nilikua nao for 4 years ,I know them well!

Tuseme wewe umebahatika kwa hao 10% waliotulia,hilo si tatizo.Tunazingumzia majority ya jamii hapa na sio your personal heaven experiences ulizo bahatisha!

Wewe ni wa kike you dont know shit about a group of men what they do and talk!

Unamjua akiwa nyumbani!

We know each other since kindergarten,before you met him,

We know him and all the bitches we went through of which u will never know!

Mnachanganya mambo nyie!
 
We bana watu wanacomplicate maisha!
Mi kwa kweli mwanaume awe huru tu kuwapigia marafiki zangu simu kuniuliza kama niko nao movie!
watajijua wakiamua kuvuana chupi!
SIWEZI KABISA KUACHA KUWA HURU NA MAISHA KUMUWEKEA MTU MIPAKA YA WHO TO TALK AND WHO NOT TO TALK TO!
sina marafiki wa kila mwaka kila mwezi!
I keep friends for decades , NAWEZAJE KUWAFANYA WASIWE SEHEMU YA MAISHA YANGU
ILHALI
- tunasindikizana kula firigisi na ice cream kila mmoja wetu anapokuwa mjamzito,
-mume kamzingua tunamalizia hasira kwenye nyama choma!
-kapata kazi , cheo ,kajenga au kanunua nyumba mi niko mji mwingine, naenda bar kunywa konyagi kucelebrate nikiwa mwenyewe.
-Siku nyingine mwingine mjamzito anagoma kula ugali uliopikwa usiku inabidi mumewe aje afate pilau la kula mkewe saa sita usiku kwangu!
-Mtu anashikwa uchungu mumewe hayupo mumewe anampigia mume wangu akamchukue ampeleke hospitali na mi nakuwepo kumshikilia mwanae au yeye mwanangu ili anyone day one!
-Yani mtu aliyepo kwenye benchi ya theatre room kila ninapoleta kiumbe duniani?

NDO HAO WATU MNAZUNGUMZA WASIJE NYUMBANI?
ah weee!
 
kupitia huu uzi nime observe wanaume wanafurahia kuletewa mashosti wa wake zao home while wanawake hawataki mashosti waende majumbani kwao.....hapa unapata picha kwamba uaminifu katika ndoa hakuna siku hizi.....
 
Hasal
Haswaaa. Yaani mi najiuliza the few friends I have wengine zaidi ya miaka 10 wasije home kisa Mr atawala? Mimi nina very close friends watano tu, wengine wa kupiga nao story. I don't plan to loose them anytime soon
 
Hasal


Haswaaa. Yaani mi najiuliza the few friends I have wengine zaidi ya miaka 10 wasije home kisa Mr atawala? Mimi nina very close friends watano tu, wengine wa kupiga nao story. I don't plan to loose them anytime soon
umeona enh!
Kwa kweli siwezi loose my friends over insecurities za mahusiano!
watu uko nao miaka zaidi ya 20!
SIMPLY umeolewa ndo wasije kwako!
HAPANA AISEE, I think nina history with them way back kuliko hiyo ndoa!
 
Mimi naona vile mtu anavyojuana na marafiki zake. Kama ndio tabia zao za kuchukuliana mabwana amani haiwez kuwepo akifika kwake. Kama una rafik macho juu juu na wewe uko hivyo.

Yani mtu una rafiki kabla hata hujakutana na huyo mwanaume umkimbie kisa umeolewa. Yan vitu vingine vinachekesha kwakweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…