Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,343
- 23,230
Ndiyo JF hii 😀😀😀Kuna watu wana uchungu sijapata kuona..khaaa.
Mtu anabishia kuwa mume wa mwenzie hayupo vile mkewe anamjua. Hii mpya sana kwangu
Ndiyo JF hii 😀😀😀Kuna watu wana uchungu sijapata kuona..khaaa.
Mtu anabishia kuwa mume wa mwenzie hayupo vile mkewe anamjua. Hii mpya sana kwangu
Utamchunga kazini, njiani na popote atapokua?Majority sio kwamba hawana imani na marafiki zao; wengi hawana imani na waume zao. Unatujua tunavyohalalisha ukicheche wa wanaume na kuwafanya wao kama victims, watu wasio na utashi wa kukataa; wanalazimishwaga tu papuchi. Sijui utawachunga wangapi
Aisee labda nipoteze purpose ya maisha; ndo ntadevote energy yangu kuishi kwa wasiwasi kisa mumeUtamchunga kazini, njiani na popote atapokua?
Anyway mwisho wa siku kila mtu na mahusiano / ndoa yake ila hayo maisha ya mateso aisee!
Humuamin kwa mashoga itakuja kwa ndugu mwisho popote ukimuona na mwanamke huna imani.
Yes, Na heshima huwa pale paleKama mpaka unaogopa kumkaribisha rafiki yako mwenyewe kwako kisa unaogopa anaweza kukuanika kwa watu na kukupindua kwa mume wako basi hapo huna mume wala huna rafiki.
Mkipendana kweli kweli marafiki wa mpenzi wako wanakuwa marafiki zako automatikale.
Sent using Jamii Forums mobile app
I love you mom.... Majibu yako tu roho kwatuu....Kwangu hatuchanganyiki, wanaume huko wanawake hukooo. Yanini taabu na raha ipo?
Sina hamu na mashosti.
Asante, umenikumbusha mbali sana Sky Eclat.
Mashoga ni watu wanafiki san....sanaaaaa.
Yamenikuta.
Acha nilie kwanza....nitarudi
Umeona eee halafu huyo ndiye rafiki wa kufa na kuzikana daa, hapo alipohamishiwa huko itakuwa alifurahi kweli, omba mkeo asije gundua maana utampa maumivu makali sana mpaka familia zitahadhirika, halafu kumla ni kuondoa hasira au kujiondoa utu wako yaani akiwa na mkeo atakuwa anamzarau basi tu halafu nyie wanaume nikama wote baba na mama mmojaMimi kuna rafiki wa mama watoto wangu ni wa muda mrefu tangu tupo boyfriend na girlfriend..na familia zao ni marafiki kutokana na watoto wao walikuwa wakienda shule mara likizo wanatembeleana.
Sasa huyu rafiki amehamishwa kikazi kaja Dom na mimi nipo Dom wife Dar, Sasa wife akaniambia nimsaidie rafiki yake kutafuta nyumba etc....Nikafanya hi hivyo kwa kuwa kule mimi ni mwenyeji wake mara kadhaa huwa weekend tunatoka kwenda kuangalia fursa za mji na kushangaa viwanja. Na wife anajua hilo na mimi sikuwa na lengo lolote baya.
Siku moja kwenye maongezi nikamwambia shem hivi yule fulani mlisoma nae,alikuwa rafiki yenu eenh..Mbona alikuwa anamtumia baby wangu txt za kimapenzi. Akaanza kunidanganya hamna kitu alikuwa rafiki tuu sasa na mimi nikawa namkazia namwambia hayo yameshapita but nataka kujua ukweli tu.
Sasa bhana alifunguka vitu hivyo hata sikuamini kama shem angeweza kuniambia yote hayo wakati tuna heshimiana sana. Basi kwa hasira nilizo kuwa nazo ikabidi nilipize kisasi kwa kumla. Sasa ikawa ndio kawaida kumla kila ninapo jisikia.
Mpaka hasira zilipo isha ndio nikampotezea maana yeye alikuwa hawezi kunianza kunitafuta. Nilicho gundua kwenye mauhusiano yangu na huyo rafiki ni kwamba marafiki zake wote walikuwa wana muonea gere mbona hatugombani zaidi ya miaka 7 wakati wengine washakuwa na wanaume zaidi ya 3 katika kipindi hicho. Sasa marafiki zake wakawa wanasema X ana bahati yaani mtu wake hana mambo mengi,mpole na n.k wengine wakawa wanawawaza kwanini ananipenda ninampa nini.
Sasa hayo yote nikayajua kupitia huyo kipenzi chake wenyewe wanaitana Pete na kidole.
Point ni kwamba usimuamini Binadamu kabisa kwanza wengi wao hawapendi kuona ukiwa na furaha na amani. Yaani binadamu anataman uwe unamwadithia mambo magumu ya maisha akashauri uongo na kweli basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu watoa nasaha husema kabisa umekuwa mashost wasio eleweka punguza muda wakumpikia mme wewe apiga story na mashost, ndiyo watakwambia nawewe unamwendekeza mmeoUkiolewa koma kuwa na mashosti kama unataka kuwa na amani ndani ya ndoa ila kama unataka mashosti zaidi achana na ndoa ili uwe na mashosti.
Mashosti ni watu wanafiki wachawi hawakutakii wala hawakupendi wanakuonea wivu kwa kila kitu.
Asante.Pole sana,, kuna urafiki na ushost tena wakipitiliza , kuna wengine hawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.
Huyo alikuwa shosti wangu miaka nenda rudi
Ila alichokuja kunifanyia...ni aibu
Mkuu mbona kama unalazimisha experiences! Mtu anakwambia hoja zake wewe unang'ang'ana wanaume wote vitombi! Wewe ndio kitombi, sio kwamba waume zetu hawa cheat ila hawa cheat kijinga jinga. Na hata kama akicheat sio lazima atoke na mashosti zetu au wafanyakazi wa ndani au ndugu zetu. Live your own experienceHahahahaaa
I remember nilipokua chuo kikuu,mtu ana demu say Hall Three!
Kulikua kuna tabia ya ajabu sana,ambayo well,ni wanadamu hapa tunaongelea,akienda kumtembelea demu wake then the boyfriend anatongoza the whole room,in a month kesha tongoza wengi in that hall.
Its really crazy , ila this happens.
Tunaongelea reality hapa what actually happens na sio Alfu Lela Ulela mnazotaka kuleta!
Mpo group la marafiki watano,boyfriend wa mmojawapo hua anatongoza wote wanne walisalia,hii ni normal occurance kabisa na unalijua hili wala usilete unafiki!
Sasa imagine umemaliza chuo kikuu ndio umeolewa,halafu marafiki zako wanakuja kukutembelea,the same thing occurs,then who is very stupid here?
Ni wewe!
Mkuu mbona kama unalazimisha experiences! Mtu anakwambia hoja zake wewe unang'ang'ana wanaume wote vitombi! Wewe ndio kitombi, sio kwamba waume zetu hawa cheat ila hawa cheat kijinga jinga. Na hata kama akicheat sio lazima atoke na mashosti zetu au wafanyakazi wa ndani au ndugu zetu. Live your own experience
We bana watu wanacomplicate maisha!Heaven hapa nimegundua kuna kundi la walioko kwenye mahusiano wanalinganisha na ndoa
Kuna sehemu kwenye maisha marafiki wana sehemu yake, kuna biashara nyingine tumezianzisha na marafiki,
Japokuwa siyo marafiki mpaka kuingilia uhuru wako.
Hivi unaanzaje Kumlinda mume!!
Ambaye saa nyingine ni mtu mzima kaka yako kabisa!
Unajiwekeza kwenye uzungu wa kila mtu na maisha yake!
Hawa ndo wale uhofia hata ndugu kufika kwao anawaza anatembea na mumewe!
We bana watu wanacomplicate maisha!
Mi kwa kweli mwanaume awe huru tu kuwapigia marafiki zangu simu kuniuliza kama niko nao movie!
watajijua wakiamua kuvuana chupi!
SIWEZI KABISA KUACHA KUWA HURU NA MAISHA KUMUWEKEA MTU MIPAKA YA WHO TO TALK AND WHO NOT TO TALK TO!
sina marafiki wa kila mwaka kila mwezi!
I keep friends for decades , NAWEZAJE KUWAFANYA WASIWE SEHEMU YA MAISHA YANGU
ILHALI
- tunasindikizana kula firigisi na ice cream kila mmoja wetu anapokuwa mjamzito,
-mume kamzingua tunamalizia hasira kwenye nyama choma!
-kapata kazi , cheo ,kajenga au kanunua nyumba mi niko mji mwingine, naenda bar kunywa konyagi kucelebrate nikiwa mwenyewe.
-Siku nyingine mwingine mjamzito anagoma kula ugali uliopikwa usiku inabidi mumewe aje afate pilau la kula mkewe saa sita usiku kwangu!
-Mtu anashikwa uchungu mumewe hayupo mumewe anampigia mume wangu akamchukue ampeleke hospitali na mi nakuwepo kumshikilia mwanae au yeye mwanangu ili anyone day one!
-Yani mtu aliyepo kwenye benchi ya theatre room kila ninapoleta kiumbe duniani?
NDO HAO WATU MNAZUNGUMZA WASIJE NYUMBANI?
ah weee!
Haswaaa. Yaani mi najiuliza the few friends I have wengine zaidi ya miaka 10 wasije home kisa Mr atawala? Mimi nina very close friends watano tu, wengine wa kupiga nao story. I don't plan to loose them anytime soonWe bana watu wanacomplicate maisha!
Mi kwa kweli mwanaume awe huru tu kuwapigia marafiki zangu simu kuniuliza kama niko nao movie!
watajijua wakiamua kuvuana chupi!
SIWEZI KABISA KUACHA KUWA HURU NA MAISHA KUMUWEKEA MTU MIPAKA YA WHO TO TALK AND WHO NOT TO TALK TO!
sina marafiki wa kila mwaka kila mwezi!
I keep friends for decades , NAWEZAJE KUWAFANYA WASIWE SEHEMU YA MAISHA YANGU
ILHALI
- tunasindikizana kula firigisi na ice cream kila mmoja wetu anapokuwa mjamzito,
-mume kamzingua tunamalizia hasira kwenye nyama choma!
-kapata kazi , cheo ,kajenga au kanunua nyumba mi niko mji mwingine, naenda bar kunywa konyagi kucelebrate nikiwa mwenyewe.
-Siku nyingine mwingine mjamzito anagoma kula ugali uliopikwa usiku inabidi mumewe aje afate pilau la kula mkewe saa sita usiku kwangu!
-Mtu anashikwa uchungu mumewe hayupo mumewe anampigia mume wangu akamchukue ampeleke hospitali na mi nakuwepo kumshikilia mwanae au yeye mwanangu ili anyone day one!
-Yani mtu aliyepo kwenye benchi ya theatre room kila ninapoleta kiumbe duniani?
NDO HAO WATU MNAZUNGUMZA WASIJE NYUMBANI?
ah weee!
umeona enh!Hasal
Haswaaa. Yaani mi najiuliza the few friends I have wengine zaidi ya miaka 10 wasije home kisa Mr atawala? Mimi nina very close friends watano tu, wengine wa kupiga nao story. I don't plan to loose them anytime soon
Mimi naona vile mtu anavyojuana na marafiki zake. Kama ndio tabia zao za kuchukuliana mabwana amani haiwez kuwepo akifika kwake. Kama una rafik macho juu juu na wewe uko hivyo.We bana watu wanacomplicate maisha!