Tena dada anashonewa uniform ya kazi. Gauni kama dera lakini kina lining ndani.Teh wenginie ndo hata ukienda kwa ndugu, unaambiwa Kabisa hakuna kuvaa nguo za aina fulani na fulani, utamtega mume wangu; anazivaa tu mama mjengo. Sasa unajiuliza huko barabarani/kazini na duniani huwa unamfumba macho mumeo asione vimini na vijeans/vitight? Huyo mume wa kuchungwa hivyo ni mume au mfano wa mume? Ukicheza kidogo kichaa cha ndoa kitakupata
DuuuhMwenye mme hajui? Si wameshibana huwezi jua kabisa hapo alifanywa mjinga balaa, kuna mama mmoja mastafu wa mmewe walikuwa wakiishi sehemu 1 na huyo mdada mmewe ni rafiki wa huyo mama kufa na kuzikana kumbe wanakulana huyo mama alikuja kujua baada ya huyo shemeji yake kufariki na walivyokuwa na upendo huwezi gundua hata kidogk
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.
Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.
Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.
Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Hapana jamani, sio kwa userious huo. Utayafanya maish ayawe magumu bila sababu za msingi.
Kama umeolewa na kurubembe ni kurubembe tu.
Ndo umwambie Nalendwa kuja kwangu sitaki
Mbona kichaa cha ndoa walah!
Na bado anatongonzwa pyeeeTena dada anashonewa uniform ya kazi. Gauni kama dera lakini kina lining ndani.
Sina hamu na mashosti.Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.
Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.
Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.
Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Ukiolewa koma kuwa na mashosti kama unataka kuwa na amani ndani ya ndoa ila kama unataka mashosti zaidi achana na ndoa ili uwe na mashosti.Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.
Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.
Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.
Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Ukiolewa koma kuwa na mashosti kama unataka kuwa na amani ndani ya ndoa ila kama unataka mashosti zaidi achana na ndoa ili uwe na mashosti.
Mashosti ni watu wanafiki wachawi hawakutakii wala hawakupendi wanakuonea wivu kwa kila kitu.
ShenzyyyytNasikia wanasema 'a friend of a wife does better on bed'
Waleteni tu
Unajua huu ni mwaka sio wa majibizano kwangu so wewe sio lazima ufuate ushauri wangu kila mtu anajibu according ya yeye anavyoona kama wewe ushauri wako ndio huo basi wangu ndio huuKwa hiyo mashosti ni wazuri na wanafaa kabla hujaolewa, ukishaolewa tu wanakuwa maadui?
Hivi kila rafiki akuonee wivu wewe, kisa umeolewa au kwa kipi haswa? Afu inanichekeshaga sana, mwanamke atakwambia sitaki mashosti wanafiki, sasa sijui nani sio mnafiki kama kila mtu anamuona mwenzie mnafiki. Kila mtu mwema ila wenzie wote ndo wabaya. Dunia hii teh
Unajua huu ni mwaka sio wa majibizano kwangu so wewe sio lazima ufuate ushauri wangu kila mtu anajibu according ya yeye anavyoona kama wewe ushauri wako ndio huo basi wangu ndio huu
Okey so wewe unanipinga sasa ni hivi marafiki ni wabaya tena sana jua hilo fanya hata utafiti.Usipotaka majibizano humu ndani, just keep your opinions to yourself. Ukiandika kitu tutakuquote tu whether kukusuport au kukupinga. Easy
Okey so wewe unanipinga sasa ni hivi marafiki ni wabaya tena sana jua hilo fanya hata utafiti.
Hahahahaha
Umenichekesha sana ujue!
Nazungumzia kwa perspective ya wanaume huku!
As a man,sio as a husband...husband ni kwako huko nobody cares about!
Men know men as men and not husbands....
Husband ni kwako wewe huko kwenu we don't even dont want to know shit about!
Men's code ni kwamba we men are all the same men....and we men are brick layers!
Sasa sijui hujaelewa nini hapo!?