Tulioko kwenye ndoa kukaribisha mashosti nyumbani wamzoee Mr ni kutengeneza bomu

Teh wenginie ndo hata ukienda kwa ndugu, unaambiwa Kabisa hakuna kuvaa nguo za aina fulani na fulani, utamtega mume wangu; anazivaa tu mama mjengo. Sasa unajiuliza huko barabarani/kazini na duniani huwa unamfumba macho mumeo asione vimini na vijeans/vitight? Huyo mume wa kuchungwa hivyo ni mume au mfano wa mume? Ukicheza kidogo kichaa cha ndoa kitakupata
Tena dada anashonewa uniform ya kazi. Gauni kama dera lakini kina lining ndani.
 
Mwenye mme hajui? Si wameshibana huwezi jua kabisa hapo alifanywa mjinga balaa, kuna mama mmoja mastafu wa mmewe walikuwa wakiishi sehemu 1 na huyo mdada mmewe ni rafiki wa huyo mama kufa na kuzikana kumbe wanakulana huyo mama alikuja kujua baada ya huyo shemeji yake kufariki na walivyokuwa na upendo huwezi gundua hata kidogk

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nimecheka dahaaaa
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna rafiki wa mama watoto wangu ni wa muda mrefu tangu tupo boyfriend na girlfriend..na familia zao ni marafiki kutokana na watoto wao walikuwa wakienda shule mara likizo wanatembeleana.

Sasa huyu rafiki amehamishwa kikazi kaja Dom na mimi nipo Dom wife Dar, Sasa wife akaniambia nimsaidie rafiki yake kutafuta nyumba etc....Nikafanya hi hivyo kwa kuwa kule mimi ni mwenyeji wake mara kadhaa huwa weekend tunatoka kwenda kuangalia fursa za mji na kushangaa viwanja. Na wife anajua hilo na mimi sikuwa na lengo lolote baya.

Siku moja kwenye maongezi nikamwambia shem hivi yule fulani mlisoma nae,alikuwa rafiki yenu eenh..Mbona alikuwa anamtumia baby wangu txt za kimapenzi. Akaanza kunidanganya hamna kitu alikuwa rafiki tuu sasa na mimi nikawa namkazia namwambia hayo yameshapita but nataka kujua ukweli tu.

Sasa bhana alifunguka vitu hivyo hata sikuamini kama shem angeweza kuniambia yote hayo wakati tuna heshimiana sana. Basi kwa hasira nilizo kuwa nazo ikabidi nilipize kisasi kwa kumla. Sasa ikawa ndio kawaida kumla kila ninapo jisikia.

Mpaka hasira zilipo isha ndio nikampotezea maana yeye alikuwa hawezi kunianza kunitafuta. Nilicho gundua kwenye mauhusiano yangu na huyo rafiki ni kwamba marafiki zake wote walikuwa wana muonea gere mbona hatugombani zaidi ya miaka 7 wakati wengine washakuwa na wanaume zaidi ya 3 katika kipindi hicho. Sasa marafiki zake wakawa wanasema X ana bahati yaani mtu wake hana mambo mengi,mpole na n.k wengine wakawa wanawawaza kwanini ananipenda ninampa nini.

Sasa hayo yote nikayajua kupitia huyo kipenzi chake wenyewe wanaitana Pete na kidole.
Point ni kwamba usimuamini Binadamu kabisa kwanza wengi wao hawapendi kuona ukiwa na furaha na amani. Yaani binadamu anataman uwe unamwadithia mambo magumu ya maisha akashauri uongo na kweli basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nikae hapa niendelee kuushuhudia Mtanange huu. Ila nasisitiza tena, marafiki zake mke nitakaemuoa nitamuomba asiwe anawaleta nyumbani.
 
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Sina hamu na mashosti.
Asante, umenikumbusha mbali sana Sky Eclat.
Mashoga ni watu wanafiki san....sanaaaaa.
Yamenikuta.
Acha nilie kwanza....nitarudi
 
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.
Ukiolewa koma kuwa na mashosti kama unataka kuwa na amani ndani ya ndoa ila kama unataka mashosti zaidi achana na ndoa ili uwe na mashosti.
Mashosti ni watu wanafiki wachawi hawakutakii wala hawakupendi wanakuonea wivu kwa kila kitu.
 
Kwa hiyo mashosti ni wazuri na wanafaa kabla hujaolewa, ukishaolewa tu wanakuwa maadui?

Hivi kila rafiki akuonee wivu wewe, kisa umeolewa au kwa kipi haswa? Afu inanichekeshaga sana, mwanamke atakwambia sitaki mashosti wanafiki, sasa sijui nani sio mnafiki kama kila mtu anamuona mwenzie mnafiki. Kila mtu mwema ila wenzie wote ndo wabaya. Dunia hii teh

Unajua huu ni mwaka sio wa majibizano kwangu so wewe sio lazima ufuate ushauri wangu kila mtu anajibu according ya yeye anavyoona kama wewe ushauri wako ndio huo basi wangu ndio huu
 
Usipotaka majibizano humu ndani, just keep your opinions to yourself. Ukiandika kitu tutakuquote tu whether kukusuport au kukupinga. Easy
Unajua huu ni mwaka sio wa majibizano kwangu so wewe sio lazima ufuate ushauri wangu kila mtu anajibu according ya yeye anavyoona kama wewe ushauri wako ndio huo basi wangu ndio huu
 
Hahahahaha

Umenichekesha sana ujue!

Nazungumzia kwa perspective ya wanaume huku!

As a man,sio as a husband...husband ni kwako huko nobody cares about!

Men know men as men and not husbands....

Husband ni kwako wewe huko kwenu we don't even dont want to know shit about!

Men's code ni kwamba we men are all the same men....and we men are brick layers!

Sasa sijui hujaelewa nini hapo!?

Kati yangu na wewe nani alianza kutaja neno ‘ Husband ‘ ?

Men are all the same? No hapana!

Tunaishi katika jamii tunaona hata humu mpo tofauti,kulingana na maandishi mnaonekana kabisa huyu yupo tofauti na huyu.

Kubali au kataa hiyo ni wewe, ila mwanaume anaeweza kutembea na rafiki wa mke hashindwi kutembea hata na housegirl utamchunga vipi mtu wa hivi?

Yaani mke uache kushirikiana na rafiki zako kisa unaogopa mume atatembea nao?

Nakubali wapo wanaume wa hivyo ila pia wapo wanaume wasio na hiyo tabia
 
Kama mmeo hajiehishimu hadi anatobgoza rafiki zako ujue huyo atakuja kula hadi wanae na wadogo zako.
Ukiwa kwenye ndoa mume ana sehemu yake katika maisha yako. Binadamu tukiwa social animals tunahitaji marafiki, wa kusaidiana nao katika kuongeza siku hapa dunuani. Ukiwa kwenye ndoa inabidi uwe na mipaka katika uhusiano wa mashost kumzoea mume wako.

Kwanza shost kuja nyumbani si busara. Nyumbani ni sehemu ya familia na privacy izingatiwe. Yale mambo ya kuanikana siri barabarani kuwa wakimaliza kula yule mwanaume ndiye muosha vyombo hayahusu.

Ikitokea shost amepata dharura inabidi aje kwako. Apige simu na uelewe sababu inayomleta. Kama mume yuko sebuleni anaangalia TV, mtake radhi aende chumbani japo kwa lisaa limoja, unaihitaji sebule. Akija shost msikilize, baada ya lisaa ulilomuahidi mume kwisha mtake radhi shoga kuwa muda wa kumsikiliza umekwisha, mengine mtayamaliza kwenye simu.

Kama watazoena wazoeane kwa kukutana ki vyao si chini ya pua yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom