Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 877
- 981
Habari zenu wadau! Hebu tuambie ni hesabu gani ulikuwa huzipendi kipindi upo Sekondari, na zipi ulikuwa unazipenda Sana..... Binafsi hesabu za maumbo nilikuwa nazichukia Sana,
yani nikiletewa Pepa nikiona tu michoro ya maumbo hata sisomi Hilo swali navunga kama sijaona vile
.... Hesabu nilizokuwa napenda Sana ni zile za kubadili saa ya kawaida kuwa masaa 24 hapo nilikuwa siachi marks.. Nawe tuambie
Sent using Jamii Forums mobile app
.... Hesabu nilizokuwa napenda Sana ni zile za kubadili saa ya kawaida kuwa masaa 24 hapo nilikuwa siachi marks.. Nawe tuambie Sent using Jamii Forums mobile app
. Ngoja wenzio waje
