Abdul Nassir
Member
- Sep 20, 2015
- 79
- 9
Wakuu vp katika mas ala ya kufungua account apo udom, vp bank nzuri kufungu ni ipi na utaratibu wa kufungua ni UPI???
Wakuu vp katika mas ala ya kufungua account apo udom, vp bank nzuri kufungu ni ipi na utaratibu wa kufungua ni UPI???
oi lini tunaingia chuoni?
Kama huna bank account ukifika chuo eneo la kujisajili utakuta mawakala wa bank crdb na nmb hapo sasa utachagua mwenyewe,, ila ninge recommend nmb maana crdb atm ni usumbufu sana,, mara pesa zimeisha, mara networkWakuu vp katika mas ala ya kufungua account apo udom, vp bank nzuri kufungu ni ipi na utaratibu wa kufungua ni UPI???
Vyuo viwili tofauti,, kila kimoja chajitegemeaWadau nataka kujua hiv chuo cha mipango dodoma na udom vinategemeana au kila chuo kivyake? Naomba kufahamishwa.
Acha kuwadanganya vijana mwaka huu pesa ya bima unalipa directly wizara ya afya na ni tsh 54 elfu tu. Xo wadogo zangu nendeni kwenye site ya chuo muone maelekezo ya jinsi ya kupata bima yako ya afya
Mi nikushaul CRDB kma ni loan beneficial.
Kama huna bank account ukifika chuo eneo la kujisajili utakuta mawakala wa bank crdb na nmb hapo sasa utachagua mwenyewe,, ila ninge recommend nmb maana crdb atm ni usumbufu sana,, mara pesa zimeisha, mara network
Nikija kufungua uko uko chuo itakua c usumbufu?
Crdb wana makato zaidi,, na utakayofungua ni student accountAsante mkuu, na vp kuhusu bank charge ipi ni afueni kati ya crdb na nmb, na nikifungulia uko itakua ni student account au citizen account?
Crdb wana makato zaidi,, na utakayofungua ni student account
Hapana tena huku ndio vyepesi zaid wanakufungulia hapo hapo hayazid masaa na 2 cha msing andaa paspot tu zenye kitambaa cheupe nyuma 4*4.
library zpo mkuu labda useme kitu kingine!
Wadau nataka kujua hiv chuo cha mipango dodoma na udom vinategemeana au kila chuo kivyake? Naomba kufahamishwa.
Soma vizuri mkuu, inayobaki unalipa chuoni, hivyo ni 100,000 ile ile.
UDOM hostel zakutosha,mazingira mazuri ya kusomea,internet ni full kwa wapenda movie ni kudownload tumaseries,cafetaria zakutosha,bata linalika sana club 7,club 84,maisha club,..totoz za cbe,mipango na st.john kibao..mungu akupe nini tena?