Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

hakuna chuo kinaongoza kwa kuwa na library nzur kuliko udom,kuna library nne za uhakiki(coed ,cive,chas,chss) kwa hlo ucjadil ucje ukachekwa bure,maana hat ya udsm kwa moja 2 ya udom inaingia mara 4

na sisi coes tuna library yetupia! Iko pale informatics 2nd floor.
 
Hapo kuna shule kweli?????

UDOM hostel zakutosha,mazingira mazuri ya kusomea,internet ni full kwa wapenda movie ni kudownload tumaseries,cafetaria zakutosha,bata linalika sana club 7,club 84,maisha club,..totoz za cbe,mipango na st.john kibao..mungu akupe nini tena?
 
Wakuu Mliopo Hapo Udom Naomba Mnijuze Kama Naweza Kuhamia Hapo Na Taratibu Pia..Nmechaguliwa Mechanical Engineering St Joseph Ya Dar.Nataka Nihamie Hapo Software Engineering..Ntashukuru Sana
 
wale waliochaguliwa direct special diploma udom na ambao tayar wamezbtisha maomb ya mkopo yanaanza lin wakuu?
 
Wakuu Mliopo Hapo Udom Naomba Mnijuze Kama Naweza Kuhamia Hapo Na Taratibu Pia..Nmechaguliwa Mechanical Engineering St Joseph Ya Dar.Nataka Nihamie Hapo Software Engineering..Ntashukuru Sana

Unaweza hamia tu mkuu bt unatakuwa kufika ofic za tcu kufabya transfer although inategemea hiyo course uwe na nafas otherwise transfer yako itazuiwa
 
Kwa mwaka huu wa Brn kama umefanikiwa kupata chuo unachikipenda ni jambo la kumshukuru Mungu sana
 
unaweza lipa sehem yeyote mkuu although hapa pale chuo kuna CRDB& NMB so unaweza pia kwenda kulipia pake bt kutembea na pesa ni risk
Bora ulipie huko huko,, kipindi cha kufungua kunakuwaga na watu wengi wanaenda kulipia huko so ku avoid usumbufu wewe malizana huko huko home
 
Ni shiling ngap ndugu au sisi special diploma in education in mathematics and science
 
Back
Top Bottom