Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

mbona majina haya ni mengi sana tofauti na yale waliotoa jana kwenye web yao,kuna baadhi ya watu wapo kwenye majina hayo ya kwenye excel lakini kwenye yale waliyoweka kwenye web majina yao hayapo.Au majina haya wameweka mpaka final batch?.Naomba unifahamishe
 
jamani msaada wenu S1045/0198/2012 naomba kuangaliziwa hiyo alichagua md
 
Wakuu anayechukua kozi ya project planning and community development naomba tukutane hapa. Iwe mwaka 1 au 2. Kuna maswali nataka nimuulize kuhusiana na kozi.
 
Jaman ss wa special diploma in science and mathematics admission letter lini jaman
 
Mbona Nasikia Udom Maji Yanaleta Dag

Yes kuna kipindi mwaka huu kama wiki 2 hv maji yalikuwa tabu lkn uongozi wa chuo ulishatatua tatizo hilo ss hv maji yapo yakutosha na nikila siku yanatoka. Karibu sana udom usiwe na wasiwasi me nipo college of humanities and social sciences nasoma BOCA
 
Jiandaeni kulipa pesa ya bima laki nzima ilihali wenzenu wa vyuo vingine wanalipa elfu hamsini

UDOM bana,chenga sana pale

Acha kuwadanganya vijana mwaka huu pesa ya bima unalipa directly wizara ya afya na ni tsh 54 elfu tu. Xo wadogo zangu nendeni kwenye site ya chuo muone maelekezo ya jinsi ya kupata bima yako ya afya
 
Back
Top Bottom