Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Karibuni udom jamani ur welcom guyz kwa swali llolote kuhusu udom leteni
 
Na mm nauliza kwani....kuna malipo pale Udom?
 
Nilifikiri utawaambia library nzuri ina vitabu vya kutosha
Na internet ipo kwaajili ua research nakudownload vitabu na kusoma vitabu online kama google books.
Kwahali yakula bata chuo nafikiri ushauri waajabu huo.

library zpo mkuu labda useme kitu kingine!
 
Huku porojo mingi sana, wa2 wanaomba hizo link hawapewi wala nn

Bac yatumeni hayo majina makamanda wajizoom wenyewe hamna anayetuma wala kuropoka kwamba hayajatoka..!! "Wote wanajikuta wajuzi wa chuo"

Hahaaaaa co mbaya nikiwaambia piteni hivi na porojo zenu
 
kwan udom wametoa posts bro? na kama tayar nchekie RASHIDI RAJABU
S3494/0046/2012
 
Aje atasoma kama amechaguliwa direct, mimi mwenyewe naisoma hiyo diploma
 
Huku porojo mingi sana, wa2 wanaomba hizo link hawapewi wala nn

Bac yatumeni hayo majina makamanda wajizoom wenyewe hamna anayetuma wala kuropoka kwamba hayajatoka..!! "Wote wanajikuta wajuzi wa chuo"

Hahaaaaa co mbaya nikiwaambia piteni hivi na porojo zenu





dogo unalalaaama aya angalia sasa link zilivyo nyingi ivyo....!!!!!
 
Niwape hongera sana brothers & Sister...Mkumbuke kushukuru Mungu kwa hatua hii kubwa mliofikia kwa hakika haikuwa kazi nyepesi mme hustle hlo nalijua polen ila hongeren sana.

Chuoni kuna mambo mengi yanaitaji msaada wa mawazo na ushaur sana mnaweza msielewe hili ila ipo cku mtanielewa.

Sasa bhana huku huwa msuli kdogo Bata kidogo kwa wale wala Bhata,wazee wa kujiachia cku moja moja tukiwa free huku tukizingatia masomo naomba niwe mwenyeji wenu Dom kubwa bhana ama nini wakuu

#Maishani
#Club84
#MsalatoNyamaChoma pale kat

Navingne vingi
 
Back
Top Bottom