Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Mikopo ss wa special diploma in science and mathematics tunapata!!!!!!!!!!!!!!
 
wale waliochaguliwa direct special diploma udom na ambao tayar wamezbtisha maomb ya mkopo yanaanza lin wakuu?

Nadhani mpaka muda wa kuthibitisha upite ndo bodi watatoa utaratibu kwahyo sikilizia kwanzia kwny trh 16..nakuendelea
 
Kuhusu diploma sifahamu,, sina uhakika

diploma huwa wanaomba mkopo . wakishafika chuoni. then kuna gharama muhimu zinaitwa direct cost hz lazima alipie nikiasi kama laki mbili na themanini na kitu hivi. hapo pamoja na gharama ya hostel
 
Sante kwa ushirikano wenu bro zetu. Mi nmechagulw hapo dp education hii ya sisi wa science tuliokosa chance A level, nilkuwa naomba kujua mahtaj yote muhim yan yanayohtajika hapo chuon piamahitaj kulngana na prog yangu.! Pliz msaada wadau

Tusubiri admission letter ndo INA kila kitu mi mwenywe pia nimechguliwa hiyo course
 
diploma huwa wanaomba mkopo . wakishafika chuoni. then kuna gharama muhimu zinaitwa direct cost hz lazima alipie nikiasi kama laki mbili na themanini na kitu hivi. hapo pamoja na gharama ya hostel

hasa mkuu, 2kiombea chuon inakuchukua muda gan majbu kutka na vp kuhusu hyo direct cost na ya hostel kama hauna?
 
Poa bro kwaiyo admission letter zinaweza kutoka lin
Sina uhakika wa tarehe ila Nadhan kuanzia jumatatu au jum kila kitu watakuwa wamekamilisha ndo maana hata website ya udom haifunguki naona watakuwa wanafanyia processing hizo admission letter
 
aliyechaguliwa udom bsc in computer and information system security aje hapa nimuunganishe na mdogo wangu nayeye amechaguliwa hapo hapo
 
hasa mkuu, 2kiombea chuon inakuchukua muda gan majbu kutka na vp kuhusu hyo direct cost na ya hostel kama hauna?

hiyo tafuta hataa kwa kukopa. pia hakikisha unakuja na fedha ya kujikimu kiasi kwa siku za mwanzoni.unweza kunipm nitakuunganisha na machalii zangu ambao wanasoma diploma wataingia second year sahv.
muda hapo huwezi jua exactly but inachelewa kwa kweli.
 
Msaada wakuu nimepangiwa special diploma in phy & Bios ila nahitaji kubadili nikasome Bios & Chem Au phy & Chem Je inawezekana kubadilisha masomo??
 
hasa mkuu, 2kiombea chuon inakuchukua muda gan majbu kutka na vp kuhusu hyo direct cost na ya hostel kama hauna?

infact ukijaza vizuri utapata ndani ya wiki tatu nne hv. then hiyo hela kama hauna nenda kakope tu; wapi utakapokopa ndio sijui. nakushauri tar25 mpigie yule anayesema elimu bure ili mwakaniusikope tena.
 
Ili tuwe karibu zaidi wale tuliochaguliwa UDOM tukutane kwenye group la whatsapp.....weka namba yako nikuad
 
Back
Top Bottom