Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Kk ucje leta kituko ka hcho tranker piga chini Mzee,daftar utanunulia chuo ucje jarbu huend kijijin kla ktu kipo

mh! nimekuelewa kaka lakin manake pale udom pako salam sana hawawezi nichukulia v2vyangu
 
Kk Chuo sio boarding in fact swala la wizi lipo ila sio ki hvyo other ways na uzembe wako uchangie na itategemea na watu utakao kuwa umepangiwa kuish nao,Umakini ni muhmu tranker sio lazma kwasababu rum kuna loka na zina sehem ya kufunga kma utakuwa huamin watu unaokaa nao kwetu sisi tulikuwa tunakaa wote wastarab ata uache laptop mezan cku mbili
 
Wadau habari.
iv eti pale udom kunaumhimu wa kuwa na trancer?
na vipi kuhus isue ya daftari wakuu, yaan kwa education ni daftari ngapi zinahtajika? msaada wenu wadau@
Tafuta begi lako zuri la kuweka nguo zako tranka mwisho form 6,, madaftari utanunua huko
 
Kk Chuo sio boarding in fact swala la wizi lipo ila sio ki hvyo other ways na uzembe wako uchangie na itategemea na watu utakao kuwa umepangiwa kuish nao,Umakini ni muhmu tranker sio lazma kwasababu rum kuna loka na zina sehem ya kufunga kma utakuwa huamin watu unaokaa nao kwetu sisi tulikuwa tunakaa wote wastarab ata uache laptop mezan cku mbili

nice my johw! ila pia umenkumbusha isue ya laptop! niliambiw ni mhimu et@ vip nkwama2miz yep ay mkalia ang
 
Matumizi ya laptop
Kutafuta material kwenye website

Walimu huwa wanatoa material softcopy so ukiwa na laptop unahifadhi huko

Ku type assignments kule assignments nyingi ni ku type kwenye laptop / computer
 
Vipi kuhusu ugawanyaji wa rooms unazingatia vigezo vipi???kwang mimi napend room mate tunaochukua course moja ili iwe rahis kujixomea
 
nice my johw! ila pia umenkumbusha isue ya laptop! niliambiw ni mhimu et@ vip nkwama2miz yep ay mkalia ang

We c unaenda kupiga dip umesema
Kma una uwezo wa kununua laptop narudia kama una uwezo nunua itakusaidia lakn kma budget inasua sua unaweza kuanza bila laptop na baadae ukajipanga either kupitia hela ya boom na kadhalika.
 
Vipi kuhusu ugawanyaji wa rooms unazingatia vigezo vipi???kwang mimi napend room mate tunaochukua course moja ili iwe rahis kujixomea

Hyo ngum na itategemea na warden wako yupo vipi,alafu sio inshu sana sehem za kusomea ni nying sana sio lazma rum mtakutana mtasoma,Pia ni nzur ukajifunza wengne wanafanyaje penda cooperation na watu tofaut icje ikawa unatafuta unaowajua tu,Changamana na watu ujifunze Mengi
 
Vipi kuhusu ugawanyaji wa rooms unazingatia vigezo vipi???kwang mimi napend room mate tunaochukua course moja ili iwe rahis kujixomea

Room unakaa na yoyote utakao pangiwa nao ila kama una best zako mnaweza ji organise mkachukua chumba kwa pamoja
 
We c unaenda kupiga dip umesema
Kma una uwezo wa kununua laptop narudia kama una uwezo nunua itakusaidia lakn kma budget inasua sua unaweza kuanza bila laptop na baadae ukajipanga either kupitia hela ya boom na kadhalika.

mh man unashushaul mzuri san@ i like you !
 
We c unaenda kupiga dip umesema
Kma una uwezo wa kununua laptop narudia kama una uwezo nunua itakusaidia lakn kma budget inasua sua unaweza kuanza bila laptop na baadae ukajipanga either kupitia hela ya boom na kadhalika.

but #Tob0001 we upo udom unapiga cose gan man
 
Back
Top Bottom