kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,142
- 3,189
ulifanyaje kaka mpaka haukulipa kitu nipe maujanjaNilingia UDOM sijalipa hata sh.50.
ulifanyaje kaka mpaka haukulipa kitu nipe maujanjaNilingia UDOM sijalipa hata sh.50.
mkuu kuna jamaangu kachaguliwa direct diploma axa wazaz wake hawana mane za kumpeleka je kuna uwezekano wa kusoma msaada?
hajapew mkopo.
dogo unalalaaama aya angalia sasa link zilivyo nyingi ivyo....!!!!!
sometimes na sio wakati wote nadhani kama unauelewa utakua unatambua matatizo yenye makutano ya watu wengi... maji yapo sana tu mimi nasoma hapoMbona Nasikia Udom Maji Yanaleta Dag
kumbe unaulizia yaundergraduate ,mbona ndo hayo kijana nimeyapost umuhaya ni postgraduate Na sio Undergraduate
acha haraka kijana mambo yote mtapewa na mtajua ila direct cost huwa ni laki 2.4 na ushee flan ivi, na kujumlisha nusu ada utakayo takiwa kulipa tayari utakua registeredTufahamishane kwa wale waliotangulia kwenye kozi hyo maan wengne hatuelew tunalipa nn mengne yap wanalipa selikal special programe udom?
acha haraka kijana mambo yote mtapewa na mtajua ila direct cost huwa ni laki 2.4 na ushee flan ivi, na kujumlisha nusu ada utakayo takiwa kulipa tayari utakua registered
hajapewa mkop kwani?
Wadau habari.
iv eti pale udom kunaumhimu wa kuwa na trancer?
na vipi kuhus isue ya daftari wakuu, yaan kwa education ni daftari ngapi zinahtajika? msaada wenu wadau@
Mkuu hiyo direct cost sisi wa special diploma tunalipia kwa ajili gani?
Kk ucje leta kituko ka hcho tranker piga chini Mzee,daftar utanunulia chuo ucje jarbu huend kijijin kla ktu kipo
wadau nahitaji admission letter haraka, ili muajiri aniruhusu nije hapo udom kusoma.
Zinapatikanaje?