tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,055
- 16,509
Mta enjoy sana UDOM
yeah kama ni kulala wataenjoy sana maana hakuna la maana wanaloenda kufanya pale zaidi ya hilo.
Mta enjoy sana UDOM
>Library ipo japo vitabu havipo vya kutosha na nyenye kiwango
>vyumba vizuri hamna haja ya kubebana, omba tu Mungu upate roommates mnaoendana tabia
> madarasa yapo ya kutosha hata for private study haisumbui
Watoto wa college ya social nd humanity....wapenda starehe mtawakuta., kuweni maminiii....ohooo
yeah kama ni kulala wataenjoy sana maana hakuna la maana wanaloenda kufanya pale zaidi ya hilo.
Kwanini nduguMkuu wakati mwingine pitia unachoandika kabla ya kupost
Haha... Unataka kuanzisha ligi ya vyuo naonayeah kama ni kulala wataenjoy sana maana hakuna la maana wanaloenda kufanya pale zaidi ya hilo.
Kwanini ndugu
Sikutaka kuonyesha makosa ya kiuandishi katika hiyo post ila ukiipitia tena utayaona
nimeona aseeChangamoto ya usafiri kama mbagala kwa baadhi ya college kama education,tiba, natural science n info
yeah kama ni kulala wataenjoy sana maana hakuna la maana wanaloenda kufanya pale zaidi ya hilo.
usafiri sio shida sema tu lile gari la chuo linapita kwa mda maalumu, usipokuwepo unaachwa so utakazimika kujilipia usafiri..
Me naongelea kutoka au kwenda town
Udom course gan mnaenda@ol
Noma sana, social bonden ndo wanaenjoy no purukushanooo hapo sawa tena kweli hasa jioni ni shida...wadada full kuibiwa milangoni
Computer science, naona hiyo bado
kuonyesha=kuonesha , samahani lakini..Sikutaka kuonyesha makosa ya kiuandishi katika hiyo post ila ukiipitia tena utayaona