Jonatus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2013
- 1,403
- 379
Maji kidogo yanasumbua.. Kuchota kisimani. Hamna constant water flow kwenye mabomba ya toilet au bathroom kama tulivyozoea homeChangamoto zingine vipi???
Maji kidogo yanasumbua.. Kuchota kisimani. Hamna constant water flow kwenye mabomba ya toilet au bathroom kama tulivyozoea homeChangamoto zingine vipi???
Yani sawa na nikuonyeshe mia 5,na wewe uigeuze upande mwingine itabadilika nakuwa elfu 1?use your damn brain man!wote hao wakifika chuo ni matures they will handle business zao..wakisoma haya..wasipo soma shauri zao..
Nilingia UDOM sijalipa hata sh.50.
Duh hapo kwa roommate kisanga unapangiwa mtu ni shida
Nilingia UDOM sijalipa hata sh.50.
Yametoka lini maan m nimeskia batchelor wanatoa kesho majina ,
na ume apply Tcu au Nacte
Maji kidogo yanasumbua.. Kuchota kisimani. Hamna constant water flow kwenye mabomba ya toilet au bathroom kama tulivyozoea home
😨😨😨 duh kumb najulikana had humu 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 #mtanganyika wa ukweli
Changamoto ya usafiri kama mbagala kwa baadhi ya college kama education,tiba, natural science n info
magari yanayoenda coed ni balaa haha kuanzia kugombania seat jamatini haha bora social hamna timbwili timbwili sanaBut kama mna marafiki toka home ambao mtakuwa college moja mnaeza ku organise mkapangiwa room mojaDuh hapo kwa roommate kisanga unapangiwa mtu ni shida
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
magari yanayoenda coed ni balaa haha kuanzia kugombania seat jamatini haha bora social hamna timbwili timbwili sana
Kwa hali ya coed either jifunze kupita dirishani ili kupata seatHahaa yan n'gox ni hatar. Kusafiri tu unawaza

Yametoka lini maan m nimeskia batchelor wanatoa kesho majina ,
na ume apply Tcu au Nacte