Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

Udom joining instructions wanatumiwa wahusika kupitia email zao ama(wale wa bachelor)
 
Hahaha cool down,, huwa wanatoa maelekezo jinsi ya kuzipata kwenye mtandao hawatumi posta ni kwenye mtandao

Aha so what do we do? Manake adi saivi zimebaki wiki 2 ivi and still got no idea.. sina 1 wala 2 apa! Hah
 
Kwa sisi wakazi wa dom town tutazifuata Udom chuoni administration block 3rd floor office number 140 kwa mikoani either watatumiwa kwenye e~mails zao au watapata wakiripoti wakati wa orientation
 
Aha so what do we do? Manake adi saivi zimebaki wiki 2 ivi and still got no idea.. sina 1 wala 2 apa! Hah
Chuo si mpaka tarehe 2 muda wa kupata admission letters unakaribia,, kuweni tu na subira
 
Anyone admitted to CIVE?? Nazungumzia College of Informatics and Visual Edu

Anyone that has tried ALIS (Admission Letter Issuing System) on UDOM web? Kuna yeyote kajaribu iyo?
 
Attachments

  • 1444757389543.jpg
    1444757389543.jpg
    37.8 KB · Views: 170
Kwan hiyo username kwenye kulog in unatumia yoyote ama?
Maana isjie kuwa tunakosea?
 
Kwan hiyo username kwenye kulog in unatumia yoyote ama?
Maana isjie kuwa tunakosea?

Username ni your form 4 index no. like S1900/0110/2010, mfano, halafu password ni your surname in capital latters, say SULEIMAN, kwa mfano.. and then that's all... ila chenga haifunguki, I've tried zaidi ya mara 3 ivi. Thru phone, even thru PC, same shxt happens!
 
Thanks for your information.
 
Back
Top Bottom