Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,207
- 3,604
Ili tuwe karibu zaidi wale tuliochaguliwa UDOM tukutane kwenye group la whatsapp.....weka namba yako nikuad
0765981354
Ili tuwe karibu zaidi wale tuliochaguliwa UDOM tukutane kwenye group la whatsapp.....weka namba yako nikuad
Bora ulipie huko huko,, kipindi cha kufungua kunakuwaga na watu wengi wanaenda kulipia huko so ku avoid usumbufu wewe malizana huko huko home
Haina shida ,, cha muhimu uweke taarifa zako katika bank paying slipkwhy haina shida ukilipa kwny branch yyte
Maji kidogo yanasumbua.. Kuchota kisimani. Hamna constant water flow kwenye mabomba ya toilet au bathroom kama tulivyozoea home
Hapa ndo shida ilipo .maji kwenye visima khaaa!!!
hivi km mi first year inanibid nije na sh ngap kwa kima cha chini????
Ili tuwe karibu zaidi wale tuliochaguliwa UDOM tukutane kwenye group la whatsapp.....weka namba yako nikuad
Hahaha mtongozano hapo,, haha kwenye group wadanganyane kumbe wajanja wanakula vichwaMtajadiliana nn angali wote mnakamba miguuni au ndo mnaanza kutongozana mapema??
aliyechaguliwa udom bsc in computer and information system security aje hapa nimuunganishe na mdogo wangu nayeye amechaguliwa hapo hapo
adimision ltter vp zinatoka lini??
aliyechaguliwa udom bsc in computer and information system security aje hapa nimuunganishe na mdogo wangu nayeye amechaguliwa hapo hapo
Humanities,, blocks nyingi ni kisimaniMkuu college gani mnachota maji kwe visima??
Coed tatizo la maji hakuna sema tu maji ya kule ni ya chumvi bt yanapatikana tena kwa wingi
Kwenda town ata kwa ng'ondi tuu na ulemteremko faster tuu short cut makulu via medeli mara bungeni jamatini hiyo!easy tuu