Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada πππ
Mitaani kwetu? Hapana kwanza sipendagi mahusiano ya karibu sana.hata hivyo nahisi hiyo ligi siiwezi nikishajua tu jimbo lina mgombea siangaikiπππ