Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Loneliness sucks! Sasa kama huku kwetu leo jua halijawaka kabisa imagine hiyo baridi yake eti huko single, huko tu hapo umekikaliza kumsubiri Mr right. Utachelewa dada 😆😆😆

We tafuta mahusiano yaliolegea legea ujichomeke.
We nyau kweli 😂😂😂umenichekesha mbavu zinauma. Sasa ntajuaje kuwa haya mahusiano yanalegea nijichomeke?
 
We nyau kweli 😂😂😂umenichekesha mbavu zinauma. Sasa ntajuaje kuwa haya mahusiano yanalegea nijichomeke?
Haha
Mahusiano legevu mbona uwa hayajifichi? We angalia angalia huko mtaani kwenu
 
Haha
Mahusiano legevu mbona uwa hayajifichi? We angalia angalia huko mtaani kwenu
Mitaani kwetu? Hapana kwanza sipendagi mahusiano ya karibu sana.hata hivyo nahisi hiyo ligi siiwezi nikishajua tu jimbo lina mgombea siangaiki😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom