Tulinganishe biashara na ajira hapa

Tulinganishe biashara na ajira hapa

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
5,561
Reaction score
8,202
Wakuu hebu tujaribu kulinganisha kati ya biashara na ajira kwa upekee na kwa factor zinazofanana au watu wenye madaraja sawa ya vipato kwa upande wa ajira na mtaji au mapato tuone nani anajilipa/analipwa shingapi na amefanya nini hadi sasa

Nikianza mimi, ki status ni mfanyabiashara mdogo mtaji around 500k-1m return around 300k-500k per month hadi sasa sina nilichofanya zaidi ya kuanza msingi wa nyumba kwa miaka sita toka nianze biashara

Karibuni tushee uzoefu
 
Biashara ipi unafanya mkuu
Ya mtaj wa 500k alaf unapata 300k mpk 500k
 
Ajira kaka ni kila kitu bro ,ona sasa niko ndani nimelala na nimempigia boss nimemwambia hali yangu si nzuri natapika najua badaye watakuja na majuisi na mazaga kibao ila ukweli siumwi nililewa sana jana hivyo nahisi miguu inatetemeka tu .

Hapo bado tarehe ishirini na nne kahela kangu kataingia kama kawaida nitaendelea kulewa pale nilipoishia mwezi jana ,sina stress wala nini yaani .

Ila wewe kama nakuona utakuwa umedamka toka saa moja kamili uko bize na mbilinge mbilinge za biashara mara ujichekeshe kwa mteja ilihali nafsi inasema huyu sio mzuri yaani tabu tupu kaka .

Mimi mwenzio nakopa kahela najenga kakibanda kangu ,nabaki na robo tatu yangu ya kamshahara kangu nakula taratibu huku nasubiri siku za makato yao ziishe nikope tena nikalipe mahari ili nimuoe my wangu kabisa ,yaani raha wewe basi tu .

Hayo ni maneno ya muajiriwa mmoja katika kada fulani alikuwa akinitambia pasina kujua na mimi ni mtumishi joto ya jiwe ya kusubiri mshahara na wenyewe hautoshi nayajua nje ndani .

Biashara ni bora ila kikibwa uipende na uwe na consistency basi the rest is history
 
Umeua mkuu kama ni jeshini unawavuna kwa kutafuta C ya mchongo
 
Wakuu hebu tujaribu kulinganisha kati ya biashara na ajira kwa upekee na kwa factor zinazofanana au watu wenye madaraja sawa ya vipato kwa upande wa ajira na mtaji au mapato tuone nani anajilipa/analipwa shingapi na amefanya nini hadi sasa

Nikianza mimi, ki status ni mfanyabiashara mdogo mtaji around 500k-1m return around 300k-500k per month hadi sasa sina nilichofanya zaidi ya kuanza msingi wa nyumba kwa miaka sita toka nianze biashara

Karibuni tushee uzoefu
mfanyabiashara vs mwajiriwa
Hio mechi mbona inaisha kwa matokeo ya mfanyabiashara kushinda 1,000 kwa bila
ushahidi, nenda kariakoo angalia wafanyabiashara wanacheza na Billions kila siku!
mwajiriwa hata ale rushwa kiasi gani, labda tu awe waziri wa fedha ndo labda atamkaribia mfanyabiashara
 
Hujaweka vizuri maada ukisema tu how much mtu ana earn na amefanya nn mpka sasa,

Hapo inategemeana na malengo, na nidhimu ya fedha ya mtu. Come again!!!
Yap! Factor lazima ziendane mfano napata return ya 300k kwa mtaji wa 500k naweza lingana na mwenye Tgs A hadi C kwa kipato hicho kwenye suala la nidhamu pia lazima wapatikane wenye malengo yanayofanana ambapo almost ni kukua kiuchumi
 
mfanyabiashara vs mwajiriwa
Hio mechi mbona inaisha kwa matokeo ya mfanyabiashara kushinda 1,000 kwa bila
ushahidi, nenda kariakoo angalia wafanyabiashara wanacheza na Billions kila siku!
mwajiriwa hata ale rushwa kiasi gani, labda tu awe waziri wa fedha ndo labda atamkaribia mfanyabiashara
Ngoja waje
 
Mtu ukimuona anasema biashara ni uhuru jua kakosa ajira na alikua anasaka sana ajira...🤣🤣🤣🤣🤣

Oky hyo mimi naachana nayo ila kiukweli wakuu ukipata mshangazi wa chocolate colour body la kinyaki aiseee unaweza sahau hata kufanya BIASHARA ...

Angalia mimi leo mpaka sasa nipp dilemma sijui nikafungue biashara au nikafungue mtu braa
 
Ajira ngumu ni mwezi wa pili sasa sijaona familia na nikirudi bongo nakaa only 2 weeks kifupi sina uhuru.
Biashara ni bora sana kwa mtu yeyote smart anaejielewa na anajua nini anafanya.
But kwa mtu ambae hana malengo kwenye haya maisha ni bora tu kuajiriwa ukawatumikie wenye uelewa mpana
 
Point ya mwisho nimekuelewa sana mkuu
 
Yap! Factor lazima ziendane mfano napata return ya 300k kwa mtaji wa 500k naweza lingana na mwenye Tgs A hadi C kwa kipato hicho kwenye suala la nidhamu pia lazima wapatikane wenye malengo yanayofanana ambapo almost ni kukua kiuchumi
Okay return ni 300k per months ni nje ya expenses au. Me ninachojua hawawez linganana ina dependent na trend ya biashara pia, ila biashara inaweza pay mpaka mara 20-50 au zaid kwa mwaka, so Advantage ipo kwny biznes ukicheza vizuri lakni.
 
Back
Top Bottom