Tulinasana wakati tukijamiiana

huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha kuwa teso lake limenasa.

OMG:A S-omg:
mkuu ukanasa kama dogi vile!
 
Hiyo story naona kama ya kutunga vile. kama ni kweli basi ni mpango wa huyo mwanamke wa kukuchuna. Akakupa namba ya mwanaume mwingine akizuga kuwa mumewe kumbe naye ana 10% yake. Ndiyo mkome
 
Pole sana!!!!!!!!mke wa mtu ni kifo!!usithubutu kabisaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha kuwa teso lake limenasa.

Mlinasana kama mbwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom