Tulinasana wakati tukijamiiana

Uwe unapaka asali kwnza na wewe
Maana kule unyamwezini kuna wakati wa nyuki kucharuka na wakati wa nyuki kuelewana
Wakikuwekea dawa ya nyuki ina maana wakicharuka nyuki nanyi mnachukiana wakielewana nyuki nayi mwaelewana
Basi wewe walikuwekea dawa ya ulimbo ukanasana
I can imagine ulikuwa kama kuku aliyeloweshwa na mvua:A S-alert1:
 
huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha kuwa teso lake limenasa.

Duh
 
we unaongea hivyo, bora ulinata...kuna jamaa kule Ifunda Tech miaka fulani, kule iringa kwa wale wanaokujua....alichukua mke wa mtu. basi akaondoka kwa usalama kabisa akiwa amemaliza shughuli yake..alipofika mbali, akapata haja ya mkojo, akasema ngoja nikojoe..alivyoanza kukojoa mkojo unatoka, kidude kikachomoka chote, kikaenda na mkojo kikadondoka chini. pakabaki kama hapakuwa na kitu kabisa yaani pameungana nyama imejirudi, ukisema maeneo ni ya mke, uke haupo, hivyo ni aina fulani tu ya mwili na kidude kimedondoka..JAMAA LICHOFANYA, ALIKIOKOTA akakishika mkononi mbio kwa mwibiwa, akaeleza ukweli wote. si unajua wahehe, alichokipata ilikuwa fundisho kwa wanafunzi wote. unalipa hela na kifo juu.
 
Inatokea ukiwa unazini na mke wa mtu. Na inakuwa ni pale unapo mwaaaa-------
 
dawa yake kuna maji fulani yanaitwa maji ya Sharubeti uwa yanauzwa Mombasa kama mkinasana wanawamwagia kwenye njia ya big haja ndio mnachomoka ila ukizidisha dozi ya maji unaweza kuwa punga
 
Hivi kwa nini wanaume ndo wanapenda kuwawekea wake zao tego.... kwa nn hatusikii wanawake wakiwekea waume zao hiyo mitego?
 
Hahaa haaaaaaaaaaaaaa hizi story ni za kweli au uzushi tuu mlinasaje na ulikuwa ushapiz au ndio game ilikuwa mbichi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom