Kama ndio njia pekee ya kuiendeleza hii nchi, basi jibu langu ni NDIO. China waliokuwa sawa na sisi miaka kadhaa nyuma walipigaje hatua? Thailand, Malaysia, Singapore? Hawa wote si wenzetu kabisa kiuchumi mwaka 1960? Nasikia China walipiga kazi kwa filimbi chini ya MAO.Kwanini unasema feki, unataka mambo ya kutandikana bakora yarudi
Sukuma gang hawaamini kilichotokea....Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..
Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Kama ndio njia pekee ya kuiendeleza hii nchi, basi jibu langu ni NDIO. China waliokuwa sawa na sisi miaka kadhaa nyuma walipigaje hatua? Thailand, Malaysia, Singapore? Hawa wote si wenzetu kabisa kiuchumi mwaka 1960? Nasikia China walipiga kazi kwa filimbi chini ya MAO.
Nini kilitokea hadi Soko ijengwe Kwa dhaturua? Iliungua? Mafuriko? Tetemeko la ardhi? Au? Kama inajengwa kwa mtindo huo basi justification inatakiwa.Soko la Kariakoo linajengwa upya kwa fedha za mfuko wa dharura na maafa.
Kuisaidiaje familia yangu hakukusaidii chochote na hasa kama sielewi nini unamaanisha kwa kuulizia nilichoisaidia familia yangu! Unaniuliza kama mtoto wa kwenye familia au baba wa familia?Tuanzie katika family level, wewe umeisaidiaje familia yako, baada ya hapo umelisaidiaje Taifa?
Hizi semina zinasaidia kuwapa A,B,C,D za uongozi watu, unajua ni aibu kukuta RC anamvimbia Waziri au PM...sasa ni msasa wa kupeana miiko ya kiuongozi, ni mambo ya kawaida tuu haya Mkuu.
Nyie siniwaimba pambio? kwani jiwe alifanyaje na kuna wajinga mpaka leo wanauona mungu waoSawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..
Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Mkuu kwani huna habari kuwa soko la Kariakoo DSM liliungua??Nini kilitokea hadi Soko ijengwe Kwa dhaturua? Iliungua?
Katika familia na Taifa, dhamira yangu sio unipatie jibu la majukumu ya ubaba, ni kukuambia kwamba kila mtu anawajibu kwa nchi yake na sio kubaki kuilaumu serikali.Kuisaidiaje familia yangu hakukusaidii chochote na hasa kama sielewi nini unamaanisha kwa kuulizia nilichoisaidia familia yangu! Unaniuliza kama mtoto wa kwenye familia au baba wa familia?
Hazisaidii, thibitisha msaada huo na endapo kama wanaoenda semina hizo ni wale wasio na JOB DESCRIPTION tu? Kisha uniambie FRESH from school wangapi wanaajiriwa serikalini na wanaingia moja kwa moja kwenye utendaji bila semina elekezi na MAMBO yanakwenda?
Mm nimeuliza tu ......unapoanzisha ujenzi Wa Soko kama kariakoo ambayo ilikuwepo miaka Na miaka jwa Hati ya dharura lazima kuna calamities ilitokea. Kuna tatizo ilitokea?Mkuu kwani huna habari kuwa soko la Kariakoo DSM liliungua??
Ndiyo. Kilitokea janga la moto lililoteketeza soko la KariakooMm nimeuliza tu ......unapoanzisha ujenzi Wa Soko kama kariakoo ambayo ilikuwepo miaka Na miaka jwa Hati ya dharura lazima kuna calamities ilitokea. Kuna tatizo ilitokea?
Picha za litakavyokua Soko jipya la Kariakoo baada ya ujenzi wake kukamilika zimeachiwa ikiwa gharama ya ujenzi wote itakua TZS bilioni 32.2Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..
Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Kama ni hivyo sawa, mfuko wa maafa utaaply...lkn damage ilikuwa kiasi gani hadi kuidhinisha ujenzi kupitia mfuko wa maafa? Mbona watanzania hatujawahi ku-note serious damage ya kariakoo kupitia moto? Tusaidieni nyie watanzania wa Kariakoo.Ndiyo. Kilitokea janga la moto lililoteketeza soko la Kariakoo
PoaKatika familia na Taifa, dhamira yangu sio unipatie jibu la majukumu ya ubaba, ni kukuambia kwamba kila mtu anawajibu kwa nchi yake na sio kubaki kuilaumu serikali.
Semina elekezi ni muhimu na zina tija, ila kwababu umedhamiria kuziponda hautaelewa maana yake ila zile ni muhimu kwaajili ya Coordination.
Ulizia na za machingaNaomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi?
Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
CCM na hesabu wapi na wapi Jamani? Hapo hajachukua 4 halafu anakwenda na moja kichwani inapotelea hukohuko.Soko la kariakoo 300b? Rekebisha huo upotoshaji wako.
Ambazo ziko kwenye bajeti?Soko la Kariakoo linajengwa upya kwa fedha za mfuko wa dharura na maafa.
Acha upoteshaji wewe soko la kariakoo ni 32 billion na machinga ni 5billionSawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..
Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.