Tulikuwa na maisha yetu na siasa zetu kabla ya Mabeberu kuvamia Tanzania. Mabeberu wasitutishe na Pesa zao

Kwani mlipoiba uchaguzi na kuua watu mlimkomoa nani??
Yeye kaenda kuishitaki Tanzania kwa umoja wa Ulaya (Ubelgiji)...wakati Ubelgiji hiyo hiyo waliua wakongo zaidi ya milioni 12 na hawajaomba msamaha wala kushitakiwa na waafrika ila leo hii wasaliti wetu (Lissu na Zitto) wanakwenda kwa shetani kuomba Tanzania ipewe vikwazo. Kama si ujinga ni nini hii? Kwani Lissu alipata wapi promise kuwa atachaguliwa na watanzania kuwa rais wetu?
 
Back
Top Bottom