Nani aliingiza nyeti zake
kwa mwenzake? Katika Hilo tukio mtu ambae aliingiza kwa mwenzake alipe
kiingilio. hahaaaaaa.
Mkuu Mshana Jr lipa kiingilio bn
ngumu kutafuta na haitanoga!
Unapenda vya dezo, huyo mwanamke alitakiwa akukwide hadi uzimie....ngumu kutafuta na haitanoga!
We nae ukiiona hela yako tamu iviringishe upigie puchu!
Kupenda tu miteremko
Game yenyewe mnapga povu tu af bado usitoe hela!
Liiiiipa kule!
Hii imekaaje wadau? Viuno tulikata wote, kileleni tukafika wote tena kwa msaada wangu! Iweje anidai malipo?
Kama ulitaka ukate kiuno bure ungeenda twangapepeta....
Nani aliingiza nyeti zake kwa mwenzake? Katika Hilo tukio mtu ambae aliingiza kwa mwenzake alipe kiingilio. hahaaaaaa.
Mkuu Mshana Jr lipa kiingilio bn
Uuuuwi tehe tehe hili ndo jibu mshana Jr tumia pesa yako tuone kama itakata mauno