Tulikata wote viuno miuno

Tulikata wote viuno miuno

Kwa asili jinsi ya 'ke' wanahudumiwa hata awe bilionea. Ni vizuri huduma ukalipa wewe dume. Mliokaa vijijini mliwaona jogoo(kuku dume) anavyobembeleza majike.Anawatafutia chakula,anatoa ulinzi.Wanaume tuwajibike kwa wenzetu wa jinsi ya 'ke',tusikimbie majukumu.
 
Jamani hata ukienda bar au mahala umehudumiwa vizuri unatoa tips. ...sembuse aliyekukatia viuno vizuri japo asante mpenzi hakuna? Mwanamume acha ubahili
 
Hahahah mshana jr?hakua real,ila alifake mpaka ogasm...hujui mbinu za hao watu wako eh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom