hawa Jamaa wako ROMBO na wake zao walikuwepokwenye kulalamika hawakunwi. Bugieni tu ugimbi sie tunakata ticket za wikiendi ROMBOOOOOO!! tena tunaingilia toka Kenya halafu tunabadirisha na lugha, tukikutana na wake zao tuna command tu kuja hapa mama Moshiro umeshatekenywa wewe, utasikia aisee bado