Tulifunga Bar na ikawa Baaaaa

Tulifunga Bar na ikawa Baaaaa

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,263
attachment.php
 

Attachments

  • 1434523925049.jpg
    1434523925049.jpg
    48.4 KB · Views: 6,122
Kama sio Wasukuma basi ni Wahaya,..na kidogo Wachagga wako na tabia za kishamba kama hizi,..ukibisha nenda pale Arusha-Matako bar utawakuta na hizo show-off zao.

Mkuu hao wachagga hao, muangalie mwenye Shati jekundu na anaevuta Sigara.
 
Wajinga sana hawa watu...
Ukute majumbani kwao hawana hata vitanda au watoto wao wanasumbuka hawana vitabu vya shule...
Huu ulimbukeni si wa kuufungia macho...
 
Wajinga sana hawa watu...
Ukute majumbani kwao hawana hata vitanda au watoto wao wanasumbuka hawana vitabu vya shule...
Huu ulimbukeni si wa kuufungia macho...

Yeah-ndio zao hao,...na hasa wasukuma na wahaya,....sorry to say that,...,!
 
Kenya wana hii tabia sana haswa mwisho wa mwezi! Hawapendi kumsumbua muhudumu nenda rudi!
 
kama wameshateketeza kiti mdudu no shiida

Shida ni ipo,..nayo ni kuwa kila kitu na enzi zake-huu ushamba wa kujaza mibia kwenye meza ulishapitwa na wakati mkuu,...wananikera saaaaaana -wanatujazia mi-inzi tu bar hao.
 
Kenya wana hii tabia sana haswa mwisho wa mwezi! Hawapendi kumsumbua muhudumu nenda rudi!

Tanzania wahudumu hawana shida hata uwaagize mara kumi kwa saa,..hayo ya Kenya sio yetu,..hata Namibia wako na hiyo tabia.
 
Back
Top Bottom