Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Yaani umeshindwa cha kumshauri mpk umtafutie kesi??/ shame on uuuuuuuu!!! kwa hiyo na wewe unafurahia alivyo mgegeda mdad wa watu kwa miezi 8 halafu leo anamwambia hamtaki, embu vaa viatu vya huyo dada ingekuwa wewe ungejisikiaje? mfano ni dada yako, au sister wako, utajisikiaje, unaweza toa ushauri hapa kumbe anayekwenda kuuliwa ni ndugu yako. Acha kabisa hiyo mambo.
Hapa ndio mnakosea,what if mwanamke alikuwa anaomba mwenyewe muwa
mtasemaje? sipendi iyo kauli,kwani k kazi yake nini?we unadhani pambo lile
 
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.
Kosa la kwanza ulilofanya siku mnaanza mahusiano hukumwambia kwake unataka company wakati ukimtafuta mke. Fikiri ungechezewa wewe ungefanya nini? Acheni kucheza na hisia za watu kimapenzi mnazalisha viumbe wa ajabu. Blue G njoo hapa uone kwa nini nakasirika. Tena ngoja niondoke kabisa sitaki tena kuharibiwa siku na hawa watu.
 
Huu mpango wa kugegedana hovyohovyo, kupigana vibuti nk - inafikia wakati wa ndoa waoanaji wengi ni magofu. Sio ajabu kwamba ndoa za siku hizi nyingi ni migogoro mikubwa na ni chache hudumu!

pia kumbuka kuwa hata waolewaji ni wachache maana wengi wanakuwa washajulikana mtaani mambo yao kuwa pale hakuna kitu
Nenda tuu muda wowote na saa yoyote utampata na fulani na fulani wamepita pale
 
Mabrekaaaaaaaaaaaaa..ur name tells it ol!

Muite muambie, "Am sorry, you are an orange and I want an apple!"

NB: - never break up over a phone call au text message...FACE TO FACE!!!:rockon:
 
ulishindwa nn kumwambia mwenzio ukweli??remember what goes around comes around. . .!
 
Matatizo haya yasingekuwa
mengi kama akina dada wangekuwa wanabania kabisa mpaka baada ya ndoa.
Ona sasa mtu anajigamba kupiga sound, kugegeda, na kukata kamba!

Wanaume ukiwaambia tusubiri mpaka ndoa anakuuliza kwani mi kaka yako nilipokuwa nakutongoza ulijua mwisho wake nini? Sasa nisipofanya na wewe nikafanye na nani? Wanaume wachache wanaweza kumvumilia msichana lakini utakuta wakati anakuvumilia wewe kuna mwingine anatumiwa kwa fun bila yeye kujijua.
 
Ndo maana huwa napenda eat and run. Unajua hawa ndugu zetu hawajui maana ya 'for funny'. Kama huna malengo naye usitumie zaidi ya mara mbili, vinginevyo muwekane wazi mapemaaa!
 
Hapa ndio mnakosea,what if mwanamke alikuwa anaomba mwenyewe muwa
mtasemaje? sipendi iyo kauli,kwani k kazi yake nini?we unadhani pambo lile

Hahaha mzazi umeua kuna kauli hii pia 'umenichezea' 'umenipotezea muda'
 
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.

Kwa nini ufanye for funny na kwa nini usioe?Wewe ni kijana mchafu kabisa unayechezea wake za watu watarajiwa, mimi naombea huyo mkeo utakayemuoa naye agongwe sana na watu wengine wenye tabia chafu kama zako na mwisho wa yote akuletee hata na HIV kabisa. Watu kama wewe hamfai kuishi kabisa maana ndio munaoleta matatizo kwenye ndoa za watu.Yaani unafanya ngono for funny unadhani umekuwa mpira?Mat.ko yako!
 
Embu vaa viatu vya huyo dada, ingekuwa ni wewe ungeumia kwa kiasi gani? kwa nn mnawafanyia hivi wasichana? kwa nn mnapenda kutuumiza mioyo yetu ambayo tuaitoa kwenu kwa mapenzi? huoni kwamba unaweza hata ukamuharibia maisha yake? maana huy dada yeye kwenye akili yake alifahamu kuwa mtaendelea na step nyingine , lkn wewe unaendelea kumgegeda na humwambii kitu. Ungemwambia tangu mwanzo kwamba sina future na wewe, nafikiri angejipanga. Kwa kweli niemeumia sanaaaaaaaaaaaa! I wish ningekuwa na uwezo wa kuhukumu leo ningekuhukumu, I swear ! Ningekuhukumu!!!!! U wwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! Hivi tumewakosea nn enyi wanaume? yaani sisi tumeumbwa kuwa midoli mbele yenu? mtuchezeee , mtugeuze mtakavyo halafu ndiyo mtuache kuwa hatufai, LoooooooooooooooH! Shame on UUUUUUUU!!!!!!!!
kumbe walioumizwa wako wengi eeh.
 
Wanaume ukiwaambia tusubiri mpaka ndoa anakuuliza kwani mi kaka yako nilipokuwa nakutongoza ulijua mwisho wake nini? Sasa nisipofanya na wewe nikafanye na nani? Wanaume wachache wanaweza kumvumilia msichana lakini utakuta wakati anakuvumilia wewe kuna mwingine anatumiwa kwa fun bila yeye kujijua.

Kihalali mwisho wa kutongozana inatakiwa iwe uchumba na halafu halafu ndoa. Watu wasioane wakiwa third hand jamani!
 
tatizo la kutumia njia za udanganyifu kwenye kupata wanawake hii!!!!!!!!!! nakushauri mwambie mimi nilikudanganya tu ,nilitaka kuwa na wewe kujiburudisha na sasa hivi nimepata kiburudisho kipya/kingine.
 
It was for funny ?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ilikuwa ni one night stand sawa ungeweza kumwambia to hell nenda maana haikuwa plan yangu kuwa na wewe ila miezi nane yote unamtumia dada wa watu na then hapa unakuja kuomba ushauri wa nini ufanye
Haikuwa kwenye malengo yake kuwa yeye ni spare tyre ila alikuwa na malengo na wewe na ndo maana akakupa mwili wake kwa mategemeo kuwa kuna siku utaenda one step further ila wewe ushamchoka ndo unaamua sasa kumwambia kuwa sikutaki nina mwingine
Lolote utakalofanya jua kuwa litamuumiza kwa vyovyote vile
jamani kwani ile valentine bid si ilikuwa for funny tuu!ndo ukapotea mazima!
]nimekumiss i see!lol
 
jamani kwani ile valentine bid si ilikuwa for funny tuu!ndo ukapotea mazima!
]nimekumiss i see!lol
snowhite iliniwehusha mpaka nikachanganyikiwa na nikajikuta sijielewi niko dunia ya wapi
Mekumiss niaje aise hebu kuja kipande hii upokee hili (mwaaaahh mwaaaahhh mwaaaahhh):A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Last edited by a moderator:
Naamini ndoa hailazimishwi

Kulazimishwa ndoa kunaingiaje hapa mkuu? Watu mnatongozana (a) mnakualiana mnachumbiana na kuoana; (b) hamkubaliana, kila moja anakwenda zake. Hakuna haja ya kugegedana hatua hiyo.
 
snowhite iliniwehusha mpaka nikachanganyikiwa na nikajikuta sijielewi niko dunia ya wapi
Mekumiss niaje aise hebu kuja kipande hii upokee hili (mwaaaahh mwaaaahhh mwaaaahhh):A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

maskiiiiiiini poooole!
ahsante mwaya!:smile-big:
 
Back
Top Bottom