munisijo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 1,127
- 944
Mabreka, acha uboya ... kama hakukua na makubaliano ya ndoa then piga chini bila huruma, kikubwa mwambie ukweli na ukweli uwe ukweli coz ukweli unaponya! Kilichomfanya na yeye agegedwe muda wote huo bila kutaka kujua kesho yake ni nini?Alkua anafrahia huduma ... kumbuka, somewhere now kuna kidume kinapigwa chini bila huruma but kutokana na 'mfumo' dume na mdada kila mtu anamtetea!!Hapana ...
MY TAKE: Wadada msitoe papuchi kwa kudhania, na kama mkitoa kwa kutegemea ndoa then muulize kabisa ili baadaye msiseme mmetumiwa!!!PIGA CHINI FASTA TENA BILA HURUMA NA KWA MACHO MEUPE
MY TAKE: Wadada msitoe papuchi kwa kudhania, na kama mkitoa kwa kutegemea ndoa then muulize kabisa ili baadaye msiseme mmetumiwa!!!PIGA CHINI FASTA TENA BILA HURUMA NA KWA MACHO MEUPE