Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Embu vaa viatu vya huyo dada, ingekuwa ni wewe ungeumia kwa kiasi gani? kwa nn mnawafanyia hivi wasichana? kwa nn mnapenda kutuumiza mioyo yetu ambayo tuaitoa kwenu kwa mapenzi? huoni kwamba unaweza hata ukamuharibia maisha yake? maana huy dada yeye kwenye akili yake alifahamu kuwa mtaendelea na step nyingine , lkn wewe unaendelea kumgegeda na humwambii kitu. Ungemwambia tangu mwanzo kwamba sina future na wewe, nafikiri angejipanga. Kwa kweli niemeumia sanaaaaaaaaaaaa! I wish ningekuwa na uwezo wa kuhukumu leo ningekuhukumu, I swear ! Ningekuhukumu!!!!! U wwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! Hivi tumewakosea nn enyi wanaume? yaani sisi tumeumbwa kuwa midoli mbele yenu? mtuchezeee , mtugeuze mtakavyo halafu ndiyo mtuache kuwa hatufai, LoooooooooooooooH! Shame on UUUUUUUU!!!!!!!!
Ndio maana nakulavugi hivyohivyo my Lisa.pwenti 100%%%%%%%%%.
 
Last edited by a moderator:
Lakin kwa upande mwingne naweza kusema wanaume huwa 2nadharau sana kwan huyo wakati unamtaka alikuwa na nini na sasa amepungukiwa nini! Labda huyo mchumba ako huyo ulikuwa nae kabla ya kumpata huyo?
 
Ulipaswa kumwambia mapema kuwa mnatoa stress
 
Lol! Ungemwambia mapema sasa kama ni lifti ili asianze kupiga na honi kabisaaa... Ila kwa sasa we mwambie ukweli tu, na uweke mipaka kati yako na yeye isijekuleta hatari kwa ndoa yako unayoitarajia...
 
Lakin kwa upande mwingne naweza kusema wanaume huwa 2nadharau sana kwan huyo wakati unamtaka alikuwa na nini na sasa amepungukiwa nini! Labda huyo mchumba ako huyo ulikuwa nae kabla ya kumpata huyo?

mkuu khalfan shaban huyu jamaa alikuwa na wote wawili na alikuwa anawapanga wote wawili mmoja akiwa na malengo na akiwa ashaambiwa kweli kuwa wewe utakuwa mke na mwingine akiwa anapangwa tuu hana mpango bado yeye yupo yupo na amefika sasa umri wa kusema aoe ndo anaona sasa chance ya kummwaga mmoja ndo anatafuta mbinu hapa
 
Last edited by a moderator:
Naomba nimsaidie Mr Rocky kujibu hili anasema kamtumia kwa sababu katika huko kutumiana mmoja akiishia kuwa looser ni sawa na kwamba alikuwa akitumiwa tu na mwenzie kwa maana mwenzie kapata mwendelezo wa feature yake bila shida huku looser anabakizwa akiwa anahanghang tu,ndo maan tunasema kamtumia.I hope utakuwa umenisoma mkuu.
Hivi hapo kwenye Red huwa mnamaana gani Rocky? Kumtumiaje yaani?

Siungi mkono anachofanya huyo kaka ila huwa sielewi mnaposema amemtumia! Haikuwa ridhaa ya mwanamke, alikuwa hamuhudumii? alikuwa hamfikishi au ni nini tu, Kwanini msiseme wametumiana?
 
Last edited by a moderator:
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
naona wengine hamuamini kabisaa kuwa Mungu yupo!
HIZO NI DHAMBI KUBWA SANA!
 
Wakubwa mnapokutana na mtu mkawa wapenzi ni vizuri kuweka kila kitu black and white crystal clear kuwa hapa ni kupeana maraha and no future promises!! Tungefanya haya basi mnapoachana haiwi ni tatizo kabisa!! Tatizo unapeleka mambo full kwa mdada/mkaka wa watu anajiamini halafu unaanza kusepa taratibu. Avod breaking someone's else heart!! How if it were you? Put yourself in her shoes!!
 
Naomba nimsaidie Mr Rocky kujibu hili anasema kamtumia kwa sababu katika huko kutumiana mmoja akiishia kuwa looser ni sawa na kwamba alikuwa akitumiwa tu na mwenzie kwa maana mwenzie kapata mwendelezo wa feature yake bila shida huku looser anabakizwa akiwa anahanghang tu,ndo maan tunasema kamtumia.I hope utakuwa umenisoma mkuu.

Asante sana Blue G kwa ufafanuzi wako
umesaidia kuweka mawazo sawa kuwa kuna kutumiwa na ndo maana nikasema jamaa alimtumia mdada wa watu kw amiezi nane amemchoka ndo anatafuta visingizio
 
Last edited by a moderator:
Huyo hana lolote waingereza wanawaita watu wa aina yake maplayboy na wala sitarajii kama atakuwa Mwaminfu hata kwa huyo mkewe lazima atakuwa anamcheat tu,aombe mke awe ametulia vinginevyo wote watela nusunusu H.I.V ndani ya nyumba.
mkuu khalfan shaban huyu jamaa alikuwa na wote wawili na alikuwa anawapanga wote wawili mmoja akiwa na malengo na akiwa ashaambiwa kweli kuwa wewe utakuwa mke na mwingine akiwa anapangwa tuu hana mpango bado yeye yupo yupo na amefika sasa umri wa kusema aoe ndo anaona sasa chance ya kummwaga mmoja ndo anatafuta mbinu hapa
 
Matatizo haya yasingekuwa mengi kama akina dada wangekuwa wanabania kabisa mpaka baada ya ndoa. Ona sasa mtu anajigamba kupiga sound, kugegeda, na kukata kamba!
 
Sasa kama humpendi kwa nini usimwambie ukweli?

Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.
 
Matatizo haya yasingekuwa mengi kama akina dada wangekuwa wanabania kabisa mpaka baada ya ndoa. Ona sasa mtu anajigamba kupiga sound, kugegeda, na kukata kamba!

mkuu pmwasyoke kwa ulimwengu huu wa digital ni mmoja katika kumi au wawili katika kumi wanaoweza kusema hivyo na ndo maana haya yapo ya kugegedwa na kutumika then unaambiwa sikuwa na mpango na wewe was just for funny
Na hata sisi wanaume ukiambiwa subiri mpaka siku ya ndoa inakuwa ngumu sana kwako kukubaliana na hilo maana unajiulizwa nanyimwa kwa nini
 
Last edited by a moderator:
It was for funny ?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ilikuwa ni one night stand sawa ungeweza kumwambia to hell nenda maana haikuwa plan yangu kuwa na wewe ila miezi nane yote unamtumia dada wa watu na then hapa unakuja kuomba ushauri wa nini ufanye
Haikuwa kwenye malengo yake kuwa yeye ni spare tyre ila alikuwa na malengo na wewe na ndo maana akakupa mwili wake kwa mategemeo kuwa kuna siku utaenda one step further ila wewe ushamchoka ndo unaamua sasa kumwambia kuwa sikutaki nina mwingine
Lolote utakalofanya jua kuwa litamuumiza kwa vyovyote vile

Dah.!! leo unatoa pointi hivi..!!? umekunywa nini dogo..!!??
 
Baba V tatizo ushazoea kule chit chat muda wote ni utani bana
Sometime tuna point tunaamua kukaa kimya tunataniana kwenye jukwaa letu pendwa kule
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu kama point yangu imeeleweka.
Naomba nimsaidie Mr Rocky kujibu hili anasema kamtumia kwa sababu katika huko kutumiana mmoja akiishia kuwa looser ni sawa na kwamba alikuwa akitumiwa tu na mwenzie kwa maana mwenzie kapata mwendelezo wa feature yake bila shida huku looser anabakizwa akiwa anahanghang tu,ndo maan tunasema kamtumia.I hope utakuwa umenisoma mkuu.
 
mkuu pmwasyoke kwa ulimwengu huu wa digital ni mmoja katika kumi au wawili katika kumi wanaoweza kusema hivyo na ndo maana haya yapo ya kugegedwa na kutumika then unaambiwa sikuwa na mpango na wewe was just for funny
Na hata sisi wanaume ukiambiwa subiri mpaka siku ya ndoa inakuwa ngumu sana kwako kukubaliana na hilo maana unajiulizwa nanyimwa kwa nini

Huu mpango wa kugegedana hovyohovyo, kupigana vibuti nk - inafikia wakati wa ndoa waoanaji wengi ni magofu. Sio ajabu kwamba ndoa za siku hizi nyingi ni migogoro mikubwa na ni chache hudumu!
 
Back
Top Bottom