Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

kama ulifanya mtihan wa fom foo mwaka jana naweza nikawa najua matokeo yako!!!

Soma vizuri post yangu ujue tulianzeje usirukie tu na comment coz umeona kuna space.

kwa kukusaidia wakati tunaanza hatukuwa na mpango wa kuoana kabisa. Na yeye alijua fika kuwa mie ni mume wa mtu ( hakujali hilo) Alipokuja gundua kuwa mie sijawahi kuoa ndo anataka kuhamia kabisa. Toa ushauri wako kuanzia hapo

Ndugu ungekua unafaham.elimu yangu ungekuwa unaniamkia kila asubuh ww ndo nina wasiwasi kama ulifika hata form four maana kwenye post yako sijaona sehem.ulipomwambia.ni kwaajili ya sex tu.na.ninerudia kusoma ulichoandika ni kwamba.ulimpiga sound akakubali..au siku hizi watu wanaoana.bila sounds? niyake radhi bro maana naona ufinyu wako wa elimu utakupeleka pabaya kwanza kama.umelimika usingeweza kufanya kitendo kama ulichomfanyia.huyo dada ww jamaa vip...
 
Mkuu Mabreka nimeku/pata sana na hebu soma wewe ulichoandika

Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

halafu uniambie tumekutolea hukumu wapi mkuu
soma post yote mkuu, usiwe mvivu wa kusoma.

inawezekana sijui kupangilia stori coz mie sio mtaalam, ila kiujumla wakati tunaanza uhusiano yy alikuwa anajua kuwa yy ni nyumba ndogo ( kama baadhi ya ME wafanyavyo) ila alipogundua sijaoa ndo na yy akabadili mawazo, kitu ambacho mie nilikuwa sijakipanga kuoana nae.

Anza kutoa hukumu yako kuanzia hapo.
 
Mabreka may be story yako haijakamilika na ndo maana kila aliyekuja hapa alikutolea hukumu
Hata kama alijua kuwa hujaoa na akaanza kudevelop hisia kwako bado kukaa na mtu kwa miezi nane just for funny na hakuna maendeleo yoyote bado inaleta wasi wasi mkuu
Ingelikuwa ni one night stand hapo sawa ila miezi nane hata yeye alifikiria ushageuza mawazo yako kutoka kuwa just for funny na kuwa permanent relationship tena ikitegemea may be ulikuwa unatumia muda nae may be outing na zawadi mbalimbali mkuu anything can happen
 
Last edited by a moderator:
Ndugu ungekua unafaham.elimu yangu ungekuwa unaniamkia kila asubuh ww ndo nina wasiwasi kama ulifika hata form four maana kwenye post yako sijaona sehem.ulipomwambia.ni kwaajili ya sex tu.na.ninerudia kusoma ulichoandika ni kwamba.ulimpiga sound akakubali..au siku hizi watu wanaoana.bila sounds? niyake radhi bro maana naona ufinyu wako wa elimu utakupeleka pabaya kwanza kama.umelimika usingeweza kufanya kitendo kama ulichomfanyia.huyo dada ww jamaa vip...
Mie sihitaji kujua elim yako, coz haitanisaidia,
hapa mie nilikuwa naomba mawazo yako tu.
 
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
kwelei wa mtoto DC vipi utarudia mtihani au naeaenda VETA!
 
Back
Top Bottom