Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Mabrekaaaaaaaaaaaaa..ur name tells it ol!

Muite muambie, "Am sorry, you are an orange and I want an apple!"

NB: - never break up over a phone call au text message...FACE TO FACE!!!:rockon:
we are far apart now, convenient method is only phone
 
Alafu ukute lilikuwa linamwambia "sweet l love you so much kuliko mama yangu mzazi"

hebu tuwe wakweli jaman, wakati unatoa dozi akaambia "I love U" utasemaje?
hata wale wa kona bar tunawaambiaga "I love U too"
 
Kwa nini ufanye for funny na kwa nini usioe?Wewe ni kijana mchafu kabisa unayechezea wake za watu watarajiwa, mimi naombea huyo mkeo utakayemuoa naye agongwe sana na watu wengine wenye tabia chafu kama zako na mwisho wa yote akuletee hata na HIV kabisa. Watu kama wewe hamfai kuishi kabisa maana ndio munaoleta matatizo kwenye ndoa za watu.Yaani unafanya ngono for funny unadhani umekuwa mpira?Mat.ko yako!
hapo kwenye red, hii haina mwenyewe hata ww unaweza kupata, usije kujitia hapa kuwa ww ni msafi kumbe bosi anamlala mkeo na akukuletea maambukizi, mie hapa nimeomba ushauri sio hukumu.

hapo kwenye blue, km ww ni kijana ukweli unaujua,
 
Unaweza kumwambia tu ukweli wa hali halisi najua ataumia sna ila ndo hivyo no way out na binafc km m/ume mwenzako hyo ishu unayomfanyia sio poah kabisa,,,what goes around comes around

poa , wewe mpaka sasa hivi ulishapiga wangapi chini?

Je yy alishapiga wangapi chini?

Hukumu ni kazi ya MUNGU tumwachieni jaman, hapa naonekana nimetenda dhambi kubwa sana. kila mtu ananihukumu na kunitishia.

Je wale wanaosaliti ndoa zao/ au za watu wako katika kundi gani?
 
Nimhurumie tu huyo unaemuoa maana hajajua tu ur are just one of the heartless n rude man...son of the devil mixxxxxxxxxxxxxxXxxxxxxxxxx

kwenye mapenzi hizo ni ajali tu dadangu,

sema sie wengine hatukatagi tamaa yanatukumbaga sana, tena unakuwa na msichana wako wa ukweli anakuja kibabu na pesa zake anamchukua ju kwa ju, unaumia zen safar inaendelea.

Vip ww hujawahi kumuumiza mtu?
 
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.

wee mbwage tuu...mbona wavulana mnakuwa na huruma kuwabwaga hawa wabawake...wao wanatupiaga matusi kabisa wakituchoka
 
we ni mshenzy ulitakiwa uombe matusi sio ushauri

kama na ww hujawahi kugegedwa na mume wa mtu hilo tusi ni langu.

ila kama ww ni kama wale ninaowajua mnaovizia waume za wenzenu wawake hapa mjini hilo tusi linakufaa ww, coz najua akina dada wengi wanaokaaa ha town hata kodi za nyumba wanalipiwa na waume za watu, shame on them.

tafuta mume wako acha kudandia za wenzenu.

Ila dada mie naomba ushauri wako sio matusi yako.
 
Una maana yo yote. Kwa nini ulimtumia miezi yote kishaunamwacha. We ni malaya una maana yo yote,kafie mbali

watu wanatumia miaka 7 sumbuse mie miezi 5 tu?

vip ww, rafiki yako, ndugu yako hajawahi gegeda na akaacha?

Ila mkuu mie naomba ushauri, kama huna funga bakuli lako.

Alafu ww najua una nyumba ndogo mahala fulan alafu hapa unajifanya msafi, au nikulipue?
 
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.
Fanya kitu extreeme kama yule jamaa wa CCM kwenye uchaguzi 2010: Tumia kete ya ukabila au udini.
 
wee mbwage tuu...mbona wavulana mnakuwa na huruma kuwabwaga hawa wabawake...wao wanatupiaga matusi kabisa wakituchoka

tena ukiwa huna mkwanja utasikia nani akae na mwanume m.a.p.u.m.bu.
Inauuuuma sana.
 
Fanya kitu extreeme kama yule jamaa wa CCM kwenye uchaguzi 2010: Tumia kete ya ukabila au udini.

MKUU KATI YA POST ZOTE 90 NILIZOPOKEA you are the best, hii inafaa kabisa coz sie ni makabila tofauti, na kabila lake huwa halina sifa nzuri machoni mwa watanzania "mtazamo finyu"

ila nitaitumia kama kinga tu ila moyon nikijua sio kweli.

Nashangaa watu hapa wanalaumu as if hawajawahi kugegedwa/ kugegeda
 
Nipe basi like,dogo. Huku kwa wenzetu mbona ningevuta mkwanja wa maana!
 
Ushauri wangu nikuwa umwoe huyo. Mimi nina nyumba ndogo sawa,je nimeoa mwingine? Kama nimekuwa na nyumba ndogo baada ya kuoa hamna shida. Je angekuwa dada yako vipi,ungefurahi?
 
Ushauri wangu nikuwa umwoe huyo. Mimi nina nyumba ndogo sawa,je nimeoa mwingine? Kama nimekuwa na nyumba ndogo baada ya kuoa hamna shida. Je angekuwa dada yako vipi,ungefurahi?
ndoa sio shinikizo mkuu,

wote ambao uliwahi tembea nao uliwaoa? mbona mie nilishapigwa chini zaidi ya mara 4 tena na kejeli juu,
1. alinitangazia kuwa mashine haisimami mtaani, ilikuwa nouma AIBU, ila ilifungua milango kwa kasi ya ajabu coz wadada wengi walijilengesha wakijua mie Joka la kibisa, nami nikajikuta nasafisha jina na kuweka heshima ya kijinga mtaan
 
Mabreka fanya vile moyo wako na akili imedhamiria..mwambie ukweli tu huyo dada kuwa una mchumba unataka kuoa!! maana ndiyo ukweli wenyewe huna haja ya kujifanya unamwonea huruma..such is life!!!
 
Hapa ndio mnakosea,what if mwanamke alikuwa anaomba mwenyewe muwa
mtasemaje? sipendi iyo kauli,kwani k kazi yake nini?we unadhani pambo lile
Wala hujakosea kama kazi yake ni kutumika, ila Namuomba Mungu akupe watoto wa kike na wachezewe na kuachwa kama wewe unavyowachezea wa wenzio.
 
kumbe walioumizwa wako wengi eeh.
Mimi namshukuru Mungu nimeumizwa tayari niko ndani ya ndoa, ninamaanisha yale manyangu nyangu ya ndoa, yaani vile vituko vya ndoani,ambavyo hata ufanye nn vitatokea tu. je yule ambaye hajaolewa anajisikiaje? mtu mnakaa naye unajua mtakwenda step nyingine na kubwa zaidi , yeye anakuja anakwambia sikuhitaji tena nimepata mwingine, embu vaa viatu vya huyo dada hapo juu. Utaelewa kwa nn nimeandika hivyo
 
Back
Top Bottom