chawa wa mama
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 292
- 1,083
Mkuu,Bunge la Katiba si lazima liundwe na Wabunge wa kuchaguliwa....Hahaha yani hawahawa wabunge wapitishe hii katiba!!!
Yani wajikaange kwa mafuta yao wenyewe! Wao wanachotaka ni kupitisha vitu vinavyoumiza wananchi ila wao wenye nchi mwendo wa neema tu.
Labda baada ya miaka 50 ijayo.
Na alikuwa anajua katiba ni mbovu ila akaamua kuiacha tu ine itutese.Nyerere alikosea sana kutachia hii katiba.
no 8 ni point kubwa mno1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu.
2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu.
3.kuweka ukomo kwa wagombea ubunge.
4. Kigezo cha uwajibikaji kipimwe na tume maalumu, iwe rais, mbunge au diwani. Kama ni rais ikiona hawajibiki imwondoe madarakani kwa kura za wananchi sio bungeni.
5. Jaji mkuu apatikane kwa kupigiwa kura na wananchi wote.
6.jaji mkuu, m/rais au waziri mkuu au rais akistaafu waondolewe kinga ya kushtakiwa.
7. Suala la ajira kuingizwe ktk katiba, tuweke kiwango cha ajira, mfano wasioajiriwa ktk nchi wakifika idadi tutakayojiwekea, basi rais huyo hatufai, aondolewe madarakani.
8. Wakuu wa majeshi wote, waidhinishwe na bunge, na bunge liwe na uwezo wa kuwaondoa madarakani.
Salaam sana!!!!
hakikano 8 ni point kubwa mno
maana jeshi ni la wananchi hivyo linapaswa kutoa utii wa mwisho kabisa kwa raia wa nchi, sio mtawalahakika
1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu.
2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu.
3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge.
4. Kigezo cha uwajibikaji kipimwe na tume maalumu, iwe rais, mbunge au diwani. Kama ni rais ikiona hawajibiki imwondoe madarakani kwa kura za wananchi sio bungeni.
5. Jaji mkuu apatikane kwa kupigiwa kura na wananchi wote.
6. Jaji mkuu, M/Rais au Waziri Mkuu au Rais akistaafu waondolewe kinga ya kushtakiwa.
7. Suala la ajira kuingizwe ktk katiba, tuweke kiwango cha ajira, mfano wasioajiriwa ktk nchi wakifika idadi tutakayojiwekea, basi rais huyo hatufai, aondolewe madarakani.
8. Wakuu wa majeshi wote, waidhinishwe na bunge, na bunge liwe na uwezo wa kuwaondoa madarakani.
Salaam sana!!!!
Uliona wapi???1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu.
2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu.
3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge.
4. Kigezo cha uwajibikaji kipimwe na tume maalumu, iwe rais, mbunge au diwani. Kama ni rais ikiona hawajibiki imwondoe madarakani kwa kura za wananchi sio bungeni.
5. Jaji mkuu apatikane kwa kupigiwa kura na wananchi wote.
6. Jaji mkuu, M/Rais au Waziri Mkuu au Rais akistaafu waondolewe kinga ya kushtakiwa.
7. Suala la ajira kuingizwe ktk katiba, tuweke kiwango cha ajira, mfano wasioajiriwa ktk nchi wakifika idadi tutakayojiwekea, basi rais huyo hatufai, aondolewe madarakani.
8. Wakuu wa majeshi wote, waidhinishwe na bunge, na bunge liwe na uwezo wa kuwaondoa madarakani.
Salaam sana!!!!
KenyaUliona wapi???
Kenya
Yamewasaidia kwa kiwango kipi?Kenya