Tulidai uhuru mapema

Tulidai uhuru mapema

Rexwinton

Member
Joined
Mar 26, 2021
Posts
74
Reaction score
138
Tulilia uhuru wakati hata barabara za lami mikoani zilikuwa hamna. Elimu ilikuwa bado kulikuwa hamna maendeleo yeyote wala miundombinu ya kuleta maendeleo katika nchi ona sasa miaka zaidi ya 60 hakuna maendeleo ya maana mpaka leo tunahangaika na madawati, barabara no ajira yani BADO kundi kubwa ni maskini.
 
Hata tungesubiri miaka mingine kumi kusingekuwa na tofauti kubwa na tulipopata Uhuru. Maana ya kuwa na koloni ni kunufaisha nchi mama, faida yote iliyopatikana Tanganyika ni 10% tu ndiyo ilifanya maendeleo hapa nyingine yote ilikwenda Uingereza.
 
Ni kweli hata Maji wala umeme wa uhakika throughout the year hakuna !
 
Fikiria wanaofikiwa na huduma ya maji safi na salama ni asilimia single digit,

Na hiyo single digit uhakika wa kupata Maji ya uhakika Mwaka mzima haupo !

Inasikitisha sana
 
Ni kama bima ya afya Eti asilimia ndogo iliyopo huduma ni ilimradi halafu wakati huohuo
Wanataka kuongeza wigo huduma iwe kwa watu wote !

Yani ishindikane ku- manage wachache utaweza wengi?
 
Imeshindikana hata kuifanya mkoa wa DSM kuwa mfano wa upatikanaji wa huduma za msingi za jamii za uhakika Mwaka mzima?

Huko mikoani ndo usiseme, ukitaka hata kwenda haja ndogo au kubwa huduma ni majanga!

Vyoo havifai kwa matumizi ya kibinadamu kabisa!

Mashuleni ni hatari.

Maji ya kunawa na sabuni hakuna!
 
Tulilia uhuru wakati hata barabara za lami mikoani zilikuwa hamna. Elimu ilikuwa bado kulikuwa hamna maendeleo yeyote wala miundombinu ya kuleta maendeleo katika nchi ona sasa miaka zaidi ya 60 hakuna maendeleo ya maana mpaka leo tunahangaika na madawati, barabara no ajira yani BADO kundi kubwa ni maskini.
Sema Germans wangeendelea kutawala. Uingereza walikua wasimamizi tu
 
Hata tungesubiri miaka mingine kumi kusingekuwa na tofauti kubwa na tulipopata Uhuru. Maana ya kuwa na koloni ni kunufaisha nchi mama, faida yote iliyopatikana Tanganyika ni 10% tu ndiyo ilifanya maendeleo hapa nyingine yote ilikwenda Uingereza.
Pamoja na vyote hovyo lakini tukiaangalia mashule na mahospitali mazuri yote alijenga mkoloni. Uhuru tuliupata mapema hivyo mpaka Leo tumeshindwa kujiendeleza
 
Pamoja na vyote hovyo lakini tukiaangalia mashule na mahospitali mazuri yote alijenga mkoloni.
Alikua muaminifu sana, na alijua ku priorities the needs. Walikua na leadership skills nzuri kitu ambacho sisi tulikosa.

Haya unayoona wamefanyani katika 10% ya makusanyo waliyoyafanya na kwao waliwajengea nyumba raia wao wote.
 
Back
Top Bottom