Tulichofanya katika zama hizi za CORONA na COVID-19 ni sahihi leo, kesho na siku zote

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,947
1611759631904.png
 
Na michanjo yao watapiga wao na ChaDeMa.

Nikiwa darasa la nne, nilikataa kuchanjwa chanjo iliyokuwa imeletwa shuleni, na tokea hapo, sichanjwi chanjo mpaka naingia kaburini.
 
hata kama idadi ya waliokufa kwa corona ni kubwa yawezekana ikawa ni kidogo kuliko kule ambako walifungia, lakini madhara waliyoyapata waliojifungia ni makubwa kuliko Tanzania.
 
Back
Top Bottom