Tukutane viwanja vya jangwani..

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,922
1,195
Za wiki end wana jamvi...
Najua mu wazima wa afya.
Leo Mwl. Christopher Mwakasege anaanza SEMINA ya NENO LA MUNGU hapa kwenye viwanja vya Jangwani.
Itakuwa ni ya siku 8 mfululizo kuanzia leo.
Inaanza saa 8.00mchana mpaka saa 12.00jioni.
Tukutane hapo.
Mie nipo ndani ya viwanja tayari.
 

IMWE

Member
Sep 7, 2013
16
20
Nimala ya kwanza kujiunga jamii forum hivyo nawasalimia wana jf wenzangu nakuwatakia jumapili njema kwa wale wakristo mlioko dar fkeni hapo jangwani kwenye mkutano wa dk c.mwakasege,wengine tuendelee kutenda yaliyo mema mbele za MUNGU wetu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom