Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,531
- 94,727
Kumbuka pia mara nyingi mwezi wa 7 mishahara inachelewa kwa kisingizio Cha budgetUmesema ukweli mtupu Mrembo wetu Meeyah! Haka kasungura kamewahishwa sana mwezi huu kiasi kwamba iwapo mwezi ujao watatuwekea tarehe za kuanzia 20 na kuendelea, lazima namba tuisome.
Rai kwa Watumishi wote wa umma; Tukatumie haka ka mshahara vizuri ingawa inafahamika wazi; Hakajawahi kutosha.