Tukutane NMB, Mshahara umetoka

Tukutane NMB, Mshahara umetoka

Mwezi ujao mtalia na kusaga meno

Umesema ukweli mtupu Mrembo wetu Meeyah! Haka kasungura kamewahishwa sana mwezi huu kiasi kwamba iwapo mwezi ujao watatuwekea tarehe za kuanzia 20 na kuendelea, lazima namba tuisome.

Rai kwa Watumishi wote wa umma; Tukatumie haka ka mshahara vizuri ingawa inafahamika wazi; Hakajawahi kutosha.
 
Bora uvumilie tu ukatoe tarehe 30
Umesema ikweli mtupu Mrembo wetu Meeyah! Haka kasungura kamewahishwa sana mwezi huu kiasi kwamba iwapo mwezi ujao watatuwekea tarehe za kuanzia 20 na kuendelea, lazima namba tuisome.

Rai kwa Watumishi wote wa umma; Tukatumie haka ka mshahara vizuri ingawa inafahamika wazi; Hakajawahi kutosha.
 
Wale wa mishahara naona wanacheka Kwa mbali sanaaaa. Wameingiziwa Mapema Sana mwezi huu
Sisi wengine hata hio mishahara hatuna habari nayo

Virupu rupu vya pembeni vinatutosha kuendesha maisha, hiyo mishahara wacha ijikusanye kwanza.
 
Back
Top Bottom