YEGO MLA
Senior Member
- Dec 4, 2019
- 196
- 201
Mm bado hawajaniwekea sijui tatizo nn
mshahara bado ndugu labda kuanzia mchana hiviMm bado hawajaniwekea sijui tatizo nn
Pilipili usiyo ila yakuwashia nini hayawani weye?mishahara inawalemaza sana nyie boyas......mtaji wa kufanya biashara ya chai,vitumbua,chapati,bagia na samaki wa kukaanga hauzidi laki2 ...badala ya kulia lia humu kuhusu mshahara mpe wife mtaji hakosi zaidi ya elfu 15 kila siku haitoshi kula na mambo mengine? ...mbaf
Hii ya kuwabadilishia watumishi tarehe ya mshahara inawatesa sana yani wengi hatua za mwisho huishia kukopa pale tarehe inapobadilikaHuyu mkuu kaamua kutoa mshahara mapema sana sasa watumishi jiandaeni next month mnaweza kuupata by tarehe 26
Sawa mimi ni High One umenikubali...sikiliza we Kenge, nimeila hiyo pilipili miaka 15 nikaona nitakuwa mwehu nikatoka........sasa nafanya biashara za kati ukiziona kwa macho ni za kipumbavu hata TRA wanapita mbali kabisa..ila si haba na bibie nimempa hiyo formula na mtaji sasa mambo madogo madogo sitoi hela mfukoni....endelea kukariri maisha nyang'au wewePilipili usiyo ila yakuwashia nini hayawani weye?
mishahara inawalemaza sana nyie boyas......mtaji wa kufanya biashara ya chai,vitumbua,chapati,bagia na samaki wa kukaanga hauzidi laki2 ...badala ya kulia lia humu kuhusu mshahara mpe wife mtaji hakosi zaidi ya elfu 15 kila siku haitoshi kula na mambo mengine? ...mbaf
Mzee mambo ni 🔥🔥🔥 tuliokimbia ajira hatuhusiki humu!Nendeni ATM huko mkavute kitu ili kuepuka gharama za kuulizia salio, mambo yameanza kuwaka.