syllae
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,793
- 1,922
Upo vzr kweny utabirMwezi ujao mtalia na kusaga meno
Upo vzr kweny utabirMwezi ujao mtalia na kusaga meno
Iramba kubwa kupita TanzaniaNakukinampanda inee kweli
;kinampanda ilamba do, sijui kiomboi ilamba doo, hahaaa mpo vizuri watani.Bora uvumilie tu ukatoe tarehe 30
Mm sitak nitavuta 30bado Nina balance
Tutatoboa tu mkuu usihofu. Wahudumu wa hii bar wazito kweli bia imeisha hata hawaji kutikisa chupa.Mwezi ujao mtalia na kusaga meno
Waliopanda madaraja. Mshahara haujarekebishwa . Mdogo Wangu mwalimu kapanda daraja tokea mwezi Wa tano na barua ya kupanda daraja kapewa lakini no changes.
Duuuh kweli kipato uleta majivuno.Tutatoboa tu mkuu usihofu. Wahudumu wa hii bar wazito kweli bia imeisha hata hawaji kutikisa chupa.
Yaani umetoka kwenye atm straight bar 🤣🤣, sio dalili nzuri hata kidogoTutatoboa tu mkuu usihofu. Wahudumu wa hii bar wazito kweli bia imeisha hata hawaji kutikisa chupa.
Nipeleke mwanga bar kama salary tayar
Mbwembwe tu mkuu usiogope ata ofisini kwenyewe sijatoka bado.Yaani umetoka kwenye atm straight bar, sio dalili nzuri hata kidogo
Afadhali 😀Mbwembwe tu mkuu usiogope ata ofisini kwenyewe sijatoka bado.
Miye Nawakumbusha tu kuwa mshahara huo uliotoka ndo huo huo wa kulipia ada za shule za watoto. Shule zinafunguliwa trh 8/7. Serikali wamewahi kwa kuwa wanafunga mwaka wa Fedha. Jiongezeni ninyi wenye mishahara.Huyu mkuu kaamua kutoa mshahara mapema sana sasa watumishi jiandaeni next month mnaweza kuupata by tarehe 26
Atawaambia nini warembo na mmeshasikia mshahara umetoka tar 19?Bora uvumilie tu ukatoe tarehe 30
Atawaambia nini warembo na mmeshasikia mshahara umetoka tar 19?
Waswanu ndo mpango mzima bhana!
Nipo mwanga bar