Tukutane hapa wenye magovi

kutotahiri ndiyo kukosa utii kwa Mungu. Hata Abrahamu baba wa imani aliamriwa atahiri ndipo akawa bestie kindakindaki wa Mungu. Sipora, mke wa kwanza wa Musa alitahiri wanawe kwa jiwe kali-maana kipindi hicho kilikuwa kipindi cha mpito kutoka zama za mawe kwenda zama za chuma. Na alifanya hivyo kwa sababu Musa alijisahau kutotahiri wanawe kutokana na wingi wa shughuli. Mungu alitaka kuwaua, mke akashtuka akawakata magovi kwa jiwe....kuwa na govi si ufahari, ni chukizo.

Waisraeli walipofika tambarare za Moabu kabla ya kuvuka Mto Yordan kuanza kuteka Kanaani, na kabla Musa hajafa, Mungu alimwamuru Musa awatahiri wanaume wote waliozaliwa jangwani ili wasiingie nchi ya ahadi wakiwa wachafu kwa kuwa na magovi.
 
Ukiwa na govi ni rahisi sana kuambukizwa STDs mana lile govi linahifadhi uchafu kwa urahisi tofauti na mtu ambae ametahiriwa.

Wakati nasoma shule ya msingi nikiwa bado sojatahiriwa nilikua naona aibu hata kujipanga mstari na wanaume wenzangu katika kujisaidia haja ndogo na badala yake nilikua navizia hakuna watu ndo naenda kukojoa.

Nilikuja kupata uhuru wa kujipanga na wenzangu baada ya kutahiriwa.

Siku hizi tunapofanya mapenzi na wenzi wetu mara nyingi tunainjoi wanapotunyonya uume sasa kwa govi hilo sijui watakunyonyaje au mwenzetu wakati wa blow job unamenya πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Nenda katahiriwe hata kama ni mtu mzima usione aibu, ni kwaajiri ya afya yako na sio tu kwaajiri ya kufanya mapenzi.
 
Mwanzo 17:10-12
Soma hapo utaacha huo upumbavu wako
 
Wee chizi karogwa tena... sasa mimi nina govi? Ama wewe hujapunguzwa nyama? Wewe ni mzima au nusu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ swali hulipendi hili πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Mwambie ndugu yako anifute kwenye hiyo post mimi niko safiπŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…