Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

Naulizia ule wimbo unaimba hivi "kokohi nangai na muchana hai, sele mile.
Kokohi nangai na muchana hai , sere mure" siufaham ni nani kaimba
 
Ukisema Watu waanze kuchangia kuanzia kwa Hayati Luanzo Rwambo Makiadi " Le Grand Mitre " Franco nadhani utakuwa unakosea Mkuu kwani nina uhakika 95% ya Members wa JF wakati wa Hayati Franco walikuwa bado katika Mabeseni wanaogeshwa huku wakipiga piga maji huku na kule na kuita Mama...Mama....Mama....Mama.....
Siyo mbaya acha nao wajifunze kupitia hizo simulizi....
 
Wanamuziki maalufu wa kikongo:-
Men
- Werrason.- Koffi olomide (Mopao).- Pepe kalle.- Franco Lwambo Makiadi- Fally ipupa.- Ferre Gola.- Wazekwa.- Wenge Musica ,B.C.B.G- Papa Wemba.- Madilu system.- Tabu ley..- Defao...
Women
- Mbilia bel- Cindy- Faya tess- Yondo sister-Tshalamwana.....
Wenge Musical , B.C.B.G ni kundi siyo mwanamziki, na Werrason kabla ya kuanzisha kundi lake la Wenge Maison Mere alikuwa huko kama mmoja wa waanzilishi, chini ya kamanda JB Mpiana.
 
Wenge Musical , B.C.B.G ni kundi siyo mwanamziki, na Werrason kabla ya kuanzisha kundi lake la Wenge Maison Mere alikuwa huko kama mmoja wa waanzilishi, chini ya kamanda JB Mpiana.
Ok pamoja ntaweka na makundi hapo juu pia pamoja...
 
Hivi ni Wenge Musica BCBG au ni Wenge Musica, B.C.B.G? Nitashukuru nikijibiwa.
Ilianza WENGE MUSICA baadae likavunjika ndo kukazaliwa makundi mawili wenge b.c.b.g na ile ile musica....kama sijakosea ...
 
Kwakweli umefanya jambo la maana kuanzisha uzi huu maana mimi ni mmoja wa waliokuwa wanakosa burudani hii kwa muda hasa baada ya kuwekewa figisu kwa madai ya kulinda mziki wa ndani.

Kama mdau mmoja alivyosema mziki wa wakongo uko damuni na hatuwezi kushindana nao kwani wamejaliwa katika hili, kwahiyo kuuzuia ni kutunyima uhondo sisi wapenzi.

Imefika mahala unatafuta nyimbo kwa mfano double double ya nyboma mwandido ya kwenye miaka ya 80 unaikosa, nadhani kupitia hapa tunaweza kutengeneza collection ya nyimbo zote pendwa.
 
Pamoja mwanajamii....tupia na wewe unaokubar...ikibidi na audio or video..
 
Tena hili swala la VIZAZI ni muhimu kufafanuliwa. Je IPI mipaka ya kizazi wa kwanza cha muziki wa Zaire (DRC), halikadhalika vozazi vinavyofuata nasikia hadi sasa ni kizazi cha tano. Ikitajwa bendi/mwanamuziki wa kila kizazi na wimbo/mtindo uliotumika itaeleweka zaidi. Mtangazaji Zuberi Musabaha (Ton Ton) wa RFA aje hapa atusaidie...
Kizazi cha kwanza ni akina: Franco Makiadi, Kabasele Yampanya(baba wa Pepe Kale), Vick Longomba(baba wa Lovy na Awilo Longomba), Verkis, Kiambukuta, Tabuley, n.k.

Kizazi cha pili ni cha akina: Madilu system, Papa Wemba, Dindo Yogo, General Defao, Pepe Kale, Bileku Mpasi(Kuna Mumbafu), Kofi Olomide, Bozi Boziana, Nyboma Mwandido, Lokasa Ya M'bongo, Diblo Dibala Yankomba, Aurlus Mabele, Dally Kimoko, Jean Baron, Marc Macal, Mayaula Mayoni, Siren Mbenza, Lofombo, Yondo Sister, Faya Tes , Awilo Longomba, Demingongo na wengine wengi.

Nb- katika kundi hilo na la kwanza kuna wanamziki hatuwataji kwa sababu si wakongo. Hawa ni Sam Mangwana(Angola), Shimita(Shelisheli) na Nene Tchacoutchacou, Fred De Majunga, wachache kwa kutaja

Kizazi cha tatu ni akina:JB Mpiana, Werrason, Mbuta Likasu, Sakis, n.k.
Vizazi vingine ndiyo wanamuziki wanatamba sasa na mitindo ya kimageuzi
Tena hili swala la VIZAZI ni muhimu kufafanuliwa. Je IPI mipaka ya kizazi wa kwanza cha muziki wa Zaire (DRC), halikadhalika vozazi vinavyofuata nasikia hadi sasa ni kizazi cha tano. Ikitajwa bendi/mwanamuziki wa kila kizazi na wimbo/mtindo uliotumika itaeleweka zaidi. Mtangazaji Zuberi Musabaha (Ton Ton) wa RFA aje hapa atusaidie...
Kizazi cha kwanza ni akina: Franco Makiadi, Kabasele Yampanya(baba wa Pepe Kale), Vick Longomba(baba wa Lovy na Awilo Longomba), Verkis, Kiambukuta n.k.

Kizazi cha pili ni cha akina: Madilu system, Papa Wemba, Dindo Yogo, General Defao, Pepe Kale, Bileku Mpasi(Kuna Mumbafu), Kofi Olomide, Bozi Boziana, Nyboma Mwandido, Lokasa Ya M'bongo, n.k.
Nb- katika kundi hilo na la kwanza kuna wanamziki hatuwataji kwa sababu si
 
Ila katika nyimbo nyingi za kale, wimbo "Mbale" wa Orchestra Veve ni wimbo wenye kubeba hisia sana sana.
 
Wanamuziki maalufu wa kikongo:-
Men
- Werrason.- Koffi olomide (Mopao).- Pepe kalle.- Franco Lwambo Makiadi- Fally ipupa.- Ferre Gola.- Wazekwa.- Awilo Longomba - Papa Wemba.- Madilu system.- Tabu ley..- Defao...
Women
- Mbilia bel- Cindy- Faya tess- Yondo sister-Tshalamwana.....
Groups (Makundi).. Band
-T.P OK JAZZ -WENGE MUSICA ,B.C.B.G -
yaani kabisa umemruka Jibe mpiana mwana mukulukulu papa cheri ukaenda kwa werrason,ulitakiwa uanze na koffi mopao kisha Jibe ndo wafuate hao wengine
 
yaani kabisa umemruka Jibe mpiana mwana mukulukulu papa cheri ukaenda kwa werrason,ulitakiwa uanze na koffi mopao kisha Jibe ndo wafuate hao wengine
Nimewachanganya changanya tu hapo juu kuleta ladha mchanganyiko....Hata kabla ya huyo Koffi ilitakiwa waanze baba zake kama vile Papa wemba wakina Franco na Tabu ley ..ila pamoja tu...
 
Back
Top Bottom