Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

Kizazi cha kwanza au first generation baada ya kupata uhuru kilikuwa ni kizazi cha akina Niko Kasanda.

Kizazi cha pili ni cha akina Franco na TP OK Jazz akiwa na akina Simaro Lutumba, Jossy Kiambukuta, Tabu Ley, Sam Mangwana, Madilu System etc.

Kizazi cha tatu ni kile maarufu kama cha Soukous ndani humo kilianza muda kidogo kikienda sambamba na kizazi cha rhumba humo unawakuta Zaiko Langa Langa, akina Vangu, huku kwetu unakuta akina Mangelepa, Less Wanyika, Baba Ilunga ~Nakolele, Mazembe, lakini kilishika chati sana enzi za akina Pepe Kale na Empire Bakuba na Bileku ya Mpasi, Bozi Boziana, Bongo Man, Yondo Sister, Soukouss Masters, Soukouss Stars, Aurlus Mabele, Tshmita, Dally Kimoko, Diblo Dibala na Matchacha Yetu, Tchiko Chikaya etc.

Kizazi cha nne ni cha akina Def Defao na Big Stars, Wenge Musica, Wenge Musica 4x4, Quarter Latie na Charles Antoinwe Koffi Olomide Papa Fololo Mourhino Mokonzi Sarkozy Virus vya Ebola , Wenge Ailes Paries, Zaiko Nkolo Mboka,Wenge Musica BCBG ya kwake Papa Cherry Tshtuka JB Mpiana Mukulu, Wenge Musica Maison Mere ya kwake Ngiama Makanda Le Roi de la Forret Igweee, Extra Musica, na zake zingine za akina Rogaroga, Oxygen etc, G7 Ca va ler.

Kizazi cha tano ndicho hichi cha akina Fally Ipupa DiCaprio, Ferre Gora Shwetan, Fabregas, Kabose, Herritier Watta Plus, kwa kibongobongo ndiyo hawa akina Christian Bella the King of the Best Melodies,
Safiii..
 
Hivi hizi nyimbo za ki congo bado zinasikika zilishanitoka kichwani

Nyimbo moja inachukua dk30 aiishi. Utafikiri aisha mashauzi anaimba
 
1482430975553.jpg

Asante sana mdau kwa kuanzisha hii thread...napenda muzik ya kongo...Namkubali sana huy jamaa fally ipupa...nina karibia nyimbo zake zote ...kama deliberation(delibereshoo), cri d alarm, emaraude, kidiamfuna, tsho...unaeza muita "Dicap la merveille", au "El pibe de oro", au "El Maravilloso"( i love this one)..au "3x Hustler", au pia El Rey Mago, au pia Champions love, na zaidi saivi ameongeza aka nyingine
"el capo"....
 
View attachment 449372

Umeusahau ASSOCIE uko poa naupenda sana....
 
Mpo na nininiongo ya kolinga Akobeteke ngai na zwa epayi zuwa ya lokuta epayi Zuwa ya biloko akutaki ngai na yango Likambo mosusu mosala koboma biloko ya ndako na somba"

Anayejua mashaair ya wimbo gani huu...nataka nione yup anafatilia kwel muziki ya kongo
 
Ngoja nijaribu ni wa Franco - Mario...
 
Back
Top Bottom