Tukutane chumbani kukichwa

Vicks Kingo inasababisha kauwasho flani ambako kanaongeza ashk ya kuendeleza libeneke. Hiyo haina ubishi.
Na hako ka uwasho ndo kanakofanya divertion of mindset kwa kukafikiria zaidi, ya tendo lenyewe kitu kinachopelekea kuchelewa kutungua minazi.
 
Zaman baharia unaona papuchi kwa mwezi mara 1 au 2, nguvu lazima awe nazo...
Kwangu naona tatizo linatokana na utandawazi zaidi, kuangalia porn, aina ya maisha yenyewe ni porn tosha.. Mfano mavazi wavaayo wanawake yanachangia pia unaingia na mwanamke ndani umebaki kuona ncha ya chuchu na K baasi vingine ushaviona kabla, punyeto, wanawake sio wagumu km zamani, kula hivyo vitu kunasaidia kwa wale tunaokua na mechi sio chini ya 3 kwa wiki + michepuko
Umedadavua kibaharia haswaa mkuu naunga mkono hoja mia kwa mia
 
Kula ugali afrika imekua kama dili, ugali ni moja ya vyakula vibaya sana kula, calories kibao alafu ni carbohydrate tu ambayo itakuja kugeuka kua fat, ndiyo maana watanzania wengi wana vitambi. Afya ya ovyo. Sababu za kupungua nguvu sio hata nutrition, tatizo wengi wanaangalia porn, you might think its not a big deal ila ni bigger than u can imagine.
Kuangalia porn Luna uhusiano gani na kuishiwa nguvu za kiume?
 
Back
Top Bottom