Tukumbushane ya Dkt. Mwakyembe

Tukumbushane ya Dkt. Mwakyembe

Tuna mfumo wa hovyo kabisa ambao unaharibu watu sababu ya njaa
Hili viongozi wa CCM hawataki libadilike kwani litawatea shida. Wamejenga mfumo ambao watu wanafiki na wavivu ndiyo wanapata vyeo. Jna nimecheka sana kuona yule mbilikimo mlia njaa anayejiita Steve Nyerere ati amepewa ubalozi wa kupambana na covid-19! Yaani wale wajinga wajinga waliokuwa wanamuunga mkono Magufuli kuhusu ujinga wake juu ya covid-19 ndiyo wamegeuka kuwa wahamasishaji. Nafasi kama hizi walistahili wapewe watu walioonyesha msimamo chanya tangu mwanzoni. Ila shida kubwa zaidi iko kwa sisi wananchi. Tupo tupo tu hatujitambui.
 
Mfumo ovo ndiyo unatawala
 
Kuna siku alipata ajali, akatoka mzima na akanena"nilivyonusurika na niliyoyaona ni siri yangu" namshukuru Mungu. Ndio ligonjwa la ajabu likamjia kiaina, bado anapeta. Nampongeza mwamba Mwakiembe.
Mwongo sana huyu mhuni
 
Hakuna kitu cha maana ataandika zaidi ya ujinga tupu
Tutathibitisha vp km ujinga ikiwa hatujui yaliyotokea nyuma ya pazia ktk sakata LA tume ya Richmond na yaliyofata mpaka kupatwa na ajali iliyofuatiwa na ugonjwa wa ajabu uliompelekea kubabuka ngozi,km unajua kuhusu yey mpaka unaita ni ujinga tujuze nasi tujue.
 
Kura za maoni za ccm Kyela 2020 rushwa ya pikipiki za boxer ziligawiwa kwa kila Katibu kata kwenye zaidi ya kata 30 , Takukuru walipoingilia walinyamazishwa kutoka Lumumba
Duuu!!! Nani aliyegawa boda???
 
Back
Top Bottom